Maneno ya Lemueli mfalme, ujumbe mzito ambao mama yake alimwambia ili kumrekebisha. Niseme nini, ewe mwanangu, niseme nini, ewe mwana wa tumbo langu, niseme nini, ewe mwana wa nadhiri zangu...
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.
3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.
4...
MADAKTARI KWELI HUONA VITUKO
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba...
Mwaka ujao utakuwa na miezi 11, kutokana na malalamiko ya wananchi kuhusu mwez huo kuwa hauna mtonyo hivyo sirikali imefuta mwezi january. Hivyo utaanza na mwez feb [emoji12] [emoji12] [emoji12]...
Unalikuta njemba limefuga ndevu kama beberu lkn wakimtwanga ngumi mbili tu za pua anatokwa na machozi kama toto la kike!, sasa kuna haja gani ya kufuga ndefu zote hizo? Chozi linapendeza...
Waungwana.
Ikiwa umebaini kwa ushahidi kabisa kwamba mkeo amezaa na kiongozi wako (Anaweza kuwa waziri, Mkuu wa mkoa, Rais,) na pia kiongozi huyo ndiye muajiri wako ambae anauwezo wa kukufukuza...
Jama kaaga kwa mkewe anaenda Songea kwa wiki nzima,kumbe kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake,..
siku ya kwanza akalala,asubuhi alipoamka akamua kuchungulia kwake kukoje,si akamuona...
1. Tabia mbaya kwa mke kumwambia mumewe... "wee una shepu ya kuwa na, mwanamke kama mimi" 2. Tabia mbaya ni nini: tabia mbaya kuwa na "mchepuko" wa nje wakati umeoa/umeolewa 3. Tabia mbaya kukaa...
Hebu fikiria umeanzisha biashara ya kusafirisha maiti,mochwari binafsi,kuuza sanda na majeneza.
je ukienda katika maofisi na makampuni kwa ajili ya kufanya marketing utaanzaje ?
utawaambia ofa...
Wakuu
It has been a long time sijamuona huyu mpiga debe wa daladala za Mbaga maji matitu via Vingjnguti kidarajani..
Nimemiss maneno yake ya shombo na kujitapa kwake..
Hata kwa hii ID ya ESCORT...
Habar zenu wakuu
Aisee baada yakujitoa kwenye chama cha CHAPUTA nimeamua kurejea tena katika chama changu cha CHAPUTA .Hii ni baada yakushindwa kujizuia hisia zangu nakuamua kurudi kunduni...
*WASICHANA kwenye MAPENZI huwa wanajidai wanajua sana ENGLISH*
*Oooh baby oooh aaah shittt baby I love you... deep deep ooh baby...*
_ISIPOKUWA SEHEMU MOJA TU NDIO WANAONGEA...
Nimeshukia zangu barabara ya kibosho toka Arusha (wale wa kilimanjaro na Arusha wanalifahamu eneo) natafuta usafiri wa kwenda kindi kwa mama, namwona baba mmoja akinikimbilia."binti samahani"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.