Wadau JF,
Nimeona niandae thread maalum kwa wanaopenda kuibariki Israel tu. Nina imani hili ndiyo taifa teule La Mungu. Bila Kupoteza muda maana watu wamekuwa wakipigizana makelele yasiyokuwa na...
Kama swali linavyouliza hapo juu
Nashangaa mtu hanywi pombe Lakini anadiriki kuichukia na kumsema vibaya mnywaji
Hapa duniani kila mtu ana starehe yake ,kuna wapenda mademu,kuna wapenda...
Nina jamaa yangu yeye ana bahati sana na wanawake wanaoitwa Marry, yaani akikutana na mwanamke wa jina hilo huwa hatumii nguvu wala nini.
Wakati huo huo, yupo mwingine yeye akikutana na mwanamke...
Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na...
Binafsi nime enjoy sana kuwa pamoja na wanajf wote. Naomba radhi kwa wachache tuliopishana kiswahili na nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2018,bila kujali itikadi...
Wana jf,
Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo.
Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya...
[emoji746]Maneno ya Mademu na maana zake halisi[emoji746]
*Nisalimie ma mkwe jaman*= Demu wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie...
[emoji121]
Wakuu,
Kutokana na necha ya kazi yetu ya uwakala tunatakiwa kuwa kibandani muda mwingi sana ili kusuburia wateja na kujihakikishia miamala ili bosi afurahi.
Na hivyo ni ngumu sana...
Leo trh 26/12/2017 Imekuwa ni siku ya huzuni kwetu baada ya ndg Jeremiah Mrimi wa kijiji cha Kenokwi kata ya Mosongo Kuuwawa na Tembo usiku wa kuamkia Krismas. Huyu ni ndugu na Diwani wa kata ya...
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za...
Jana nikiwa nimetulia home kuna sister mmoja jirani yetu alinipigia simu mida ya tano.Nilivyoenda akawa anaongea vitu sivielewi hanyooshi vizuri maelezo nikamsoma psychologically anataka company...
Wana Forum;
Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . .
Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida...
Habari ya sikukuuu wapenda, kma kinavyojieleza hapo juu.
Nilikuwa namfuatilia mrembo kwa zaid ya miez 4 siku hiyo akanikubalia kunipa hayo mambo, sasa tulipanga kwenda guest.
Nilichokumbuka cha...
Salute,
Namshukuru mungu, leo kwa mara ya kwanza nimeanza kupokea notifications kutoka jamii forums.
Hili tatizo limenitokea tokea December 2017 , leo hii saa 4:06 asubuhi nimepokea...
Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
Wakati enzi hizo napata kinywaji uwezo wangu ilikuwa bia chini ya kumi Na sidhani kama nimewahi fikisha hizo bia kumi.Na Bia zangu nilizokuwa nakunywa ni zile ambazo gharama yake kwa bia Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.