JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau JF, Nimeona niandae thread maalum kwa wanaopenda kuibariki Israel tu. Nina imani hili ndiyo taifa teule La Mungu. Bila Kupoteza muda maana watu wamekuwa wakipigizana makelele yasiyokuwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama swali linavyouliza hapo juu Nashangaa mtu hanywi pombe Lakini anadiriki kuichukia na kumsema vibaya mnywaji Hapa duniani kila mtu ana starehe yake ,kuna wapenda mademu,kuna wapenda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Alikuwaga anatangaza kipindi flani cha mahaba kwenye kituo cha redio free africa. Alini inspire sana. Yuko wapi huyu mtu jamani?
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu ndg. Nipo tu hapa nimelala nahisi nina maralia. Maana kichwa miguu na hata uchovu ni wa dalili za maralia. Niwatakie tu usiku mwema.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nina jamaa yangu yeye ana bahati sana na wanawake wanaoitwa Marry, yaani akikutana na mwanamke wa jina hilo huwa hatumii nguvu wala nini. Wakati huo huo, yupo mwingine yeye akikutana na mwanamke...
1 Reactions
147 Replies
14K Views
Pale ulipoanza kujisajili hapa JF naamini kuna ID ulitaka uitumie kukutambulisha wewe lakini ukaambiwa tayari inatumika na mtu mwingine. Je ni ID gani uliitamani ujiunge nayo lakn ikashindikana na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Binafsi nime enjoy sana kuwa pamoja na wanajf wote. Naomba radhi kwa wachache tuliopishana kiswahili na nawatakia heri na fanaka katika mwaka 2018,bila kujali itikadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf, Katika kufurahia sikukuu hii Leo,naona ni vema basi ukatupia comment ukimention jina la member yeyote kumtakia heri ya sikukuu hii ya Leo. Napenda kuwatakia wote kheri na fanaka ya...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
[emoji746]Maneno ya Mademu na maana zake halisi[emoji746] *Nisalimie ma mkwe jaman*= Demu wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
[emoji121] Wakuu, Kutokana na necha ya kazi yetu ya uwakala tunatakiwa kuwa kibandani muda mwingi sana ili kusuburia wateja na kujihakikishia miamala ili bosi afurahi. Na hivyo ni ngumu sana...
7 Reactions
104 Replies
8K Views
Leo trh 26/12/2017 Imekuwa ni siku ya huzuni kwetu baada ya ndg Jeremiah Mrimi wa kijiji cha Kenokwi kata ya Mosongo Kuuwawa na Tembo usiku wa kuamkia Krismas. Huyu ni ndugu na Diwani wa kata ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*CHEKA KIDOGO Wachungaji watatu walikutana kwa siri na kuelezana matatizo yao ili waweze kuombeana. MCHUNGAJI WA KWANZA: mimi tatizo langu ni wizi, kila nikimaliza ibada lazima niibe pesa za...
14 Reactions
36 Replies
7K Views
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jana nikiwa nimetulia home kuna sister mmoja jirani yetu alinipigia simu mida ya tano.Nilivyoenda akawa anaongea vitu sivielewi hanyooshi vizuri maelezo nikamsoma psychologically anataka company...
4 Reactions
11 Replies
970 Views
Wana Forum; Mniwie radhi kwani si kawaida yangu kutembelea jukwaa hili la wapwa na mabinamu lakini leo imenilazimu . . . . Ashakum si matusi . . . Nikiwa ofisini katika kazi zangu za kawaida...
7 Reactions
750 Replies
238K Views
Habari ya sikukuuu wapenda, kma kinavyojieleza hapo juu. Nilikuwa namfuatilia mrembo kwa zaid ya miez 4 siku hiyo akanikubalia kunipa hayo mambo, sasa tulipanga kwenda guest. Nilichokumbuka cha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Picha za pilau la mwaka Jana tunazo.. Sasa kua makini na Picha Zako!!
10 Reactions
113 Replies
7K Views
Salute, Namshukuru mungu, leo kwa mara ya kwanza nimeanza kupokea notifications kutoka jamii forums. Hili tatizo limenitokea tokea December 2017 , leo hii saa 4:06 asubuhi nimepokea...
4 Reactions
10 Replies
986 Views
Leo katika kusheherekea sikukuu ya Krismasi nimeamua kufika Mwanza ili nipate Sangara na Sato nitakuwa hapa Malaika Beach kama kuna mtu maeneo hayo naomba tuonane tubadilishane mawazo.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati enzi hizo napata kinywaji uwezo wangu ilikuwa bia chini ya kumi Na sidhani kama nimewahi fikisha hizo bia kumi.Na Bia zangu nilizokuwa nakunywa ni zile ambazo gharama yake kwa bia Moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…