Aman iwe nanyi watu wa mungu
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu
Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio...
Tang nikiwa mdgo miaka imekuwa ikipewa majina naomba kujuzwa mbatizaji huwa ni nani?
.je anasifa gani?
Je anatumiaga sifa gan kutoa jina kwa kila mwaka?
Naomba wajuzi wa haya mambo!
Hii ni kwa nia njema tu ya kutaka tupeane eksipiriensi ya kutongoza wanawake mijeda hasa wakiwa kwenye zile gwanda zao zile.
Ni jana tu,
Nimeshuka zangu kwenye daladala mitaa ya Survey, nikaingia...
Moja kwa moja kwenye hoja kuntu,kuna utaratibu hufanywa na wenye dhamana ya kumfanyia upasuaji wa kichwa na kutoa ubongo pale inapotokea mtu kaaga dunia ambayo haiambatani na kuumwa.Mfano...
Eti nimeingia fb namkuta mtu anauliza eti jamani napika pilau nikishaweka mahindi naweka nini tena arafu walio like 2000 walio comments 764 sasa hivi niakili kweli au na wewe upo hivyo?
Uzalendo umenishinda kwa huyu binti ambaye ni Traffic ambaye namuona mara kadhaa kwenye mataa ya chang'ombe karibu na Serengeti ana sifa kumi za uzuri zaidi ya alizotaja O-ten imebidi niseme tuu...
Yaan ule usemi wa kuwa ni bora kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuzaliwa binadam bongo yaan bongo kila nnacho kifanya kwangu kigum nimesoma Nursing ajira zikatoka sikubahatika kwangu kuchaguliwa basi...
Swayy in the morning no yawning, just chilling nah bleming no criticism
Hypes are chances real no tel out like show room selling out,
Real recognize real making alternatives no talk bout events...
Laiti kama kila mwanaume angekuwa akipiga bao inalia kama gobole sijui ingewaje
Usiku ingekuwa hapatoshi ile puu! Puu! Ingebidi litengwe eneo mahususi kama la viwanda[emoji86] [emoji86]
Wanaume waoga na wasiojiamini humu JF ni wale ambao majina yao halisi ni tofauti na username zao...
[emoji89] [emoji89] [emoji89]
Maoni yako ni lazima maana umo kwenye list [emoji1] [emoji1]...
Haya tena wadau wa JF.
Ndio tunaumaliza mwaka 2013 na tunaukaribisha mwaka 2014.
Kama mnakumbuka January 2013 tulifanya White Party pale Kebby's Hotel Mwenge ambapo ilifana sana.
Kwa mara nyingine...
Habari zenu wakuu..., poleni na shughuli za kutwa nzima ya leo...
Naomba kuuliza kwa wale wanaopost kutafuta wachumba humu ilihali hawana mpango/hawako serious.., hivi huwa mnawaza nini? Au huwa...
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi lenye namba za usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Ngorika linalosafirisha abiria kutoka Arusha kwenda Dar,Dar kwenda Arusha lililokuwa linatokea Arusha kwenda Dar...
Duh nakumbuka enzi hizo mwishon mwa miaka ya 90' na mwanzoni mwa 2000s nilikuwa primary
Nakumbuka kuna jamaa ilikuwa kila Sikukuu lazma wapigane had watoane damu, kulikuwa na makundi mawili...