Wadau
Naomba niwe Judge wa muda kwenye suala la mavazi kwa JF members wote kwa mwaka 2017.Ukweli JF members wote wapo vizuri sana kimavazi, hongereni sana!
However of particular interest to to...
Tumsifu yesu kristo/Bwana Yesu asifiwe wapendwa katika Kristo.
============<>====<>==
Wapendwa kesho ni siku ya furaha kwa sisi Waamini wa Yesu Kristu, Ambapo itakua ni sikukuu ya kumbukumbu ya...
habari wana chit chat..
familia nyingi zinazojielewa kwenye vikao vyao ili swali halikwepeki..
kwa familia ya wana chit chat swali ili mjiulize na kuleta majibu...
tukianza na mimi kaka mkubwa...
Aisee sjawai kua na furaha na aman kama hiz siku nne na nmewambia narud tareh mbili,hahaha,kumbe niko alone home kwangu ni muvi,Natgeo,discovery,kina kardashian,yaan,najipikia makuku tu,raha...
Aisee hili jina hata wazazi kuwaita Watoto wao imepungua sana mimi hata nikutane na mtu Anaitwa Daudi nakuwa sina imani nae, Ni kama Jaydee alivokuja kuchafua jina la Yahaya
Kuna jamaa angu...
Tupia msemo ambao ulikuchekesha kinoma noma ili wote tufurahi na kidogo tupunguze stress kishkaji.
Minafsi msemo ulioniachaga hoi ni huu wa
'Ujinga ni kutumia masaa mawili kypika ,halafu...
Ladies and Gentlemen i salute you.
Thanks for your opinions and ideas which all helped me to be what i am today.
I thank you all my jf comrades.
I say this words to you.
MERRY CHRISTMAS.
may...
Madaktari wawili walienda kwenye mazishi ya daktari mwenzao ambaye alikua ni Dr Bingwa wa Moyo,
kwa kutambua na kuheshimu mchango wake kwenye idara ya Moyo, Hospitali aliyokua anafanyia kazi...
Hapa namuona,
Mosha
Mushi
Munuo
Munisi pia alikuwepo
Pale nimemuona
Masawe na
Masuwe pia alikuwepo
Kule barabarani amepita
Hipolity
Moromboo
Samboro
Gerady pia kaja na boxer
Uuwi naona hawa...
Wanajf heri ya krismasi wale wenzetu.Nawakilisha.Juzi tarehe 20/12/17 nilikuwa nasafiri kutoka Dar kuja Arusha,mbali na usumbufu wa kupata ticket na changamoto nyingine nyingi za safari kuna kitu...
Habari zenu wakuu hivi ni jukwaa gani hapa jf unapendelea sana kulipitia kuliko mengine naanza na mimi napendelea sana kupitia jukwaa la International. Na habari na hoja mchanganyiko weka na ww yako
Habari wana jamii forum,wakati tukiendelea kuhitimisha mwaka 2017 hivi ni misemo gani ,au watu au Vitu vilivyo heat mwaka 2017? Mimi naanza na "expansion joint"
Utakubaliana na mimi kuwa mwezi December ndiyo mwezi ambao watu wengi huzaliwa duniani.
Hii inatokana na ukweli kwamba, mwezi huu ni wa kihistoria wa kuzaliwa kwake Yesu Kristo aliyezaliwa na...