mimi sio mkazi wa Dar.lakini mara nyingi kila nakifika jijini lazima nipitepite kwenye maeneo ya burudani kuosha macho si unajua tena mikoani vumbi sana.lakini mara nyingi nikienda pale kona bar...
Unajiweza kuzuia dushelele lisianze kunyanyuka kwa muinuko wa slogani ya "kidumu chama tawala"?
Chukua twenty ya huduma ya full massage na twenty nyingine ya "extra". Panda basi/usafiri wako...
Kipindi cha nyuma kuliibuka na ushabiki mkubwa kwenye video za bongo flava.
Walijitokeza watu wasiojulikana kwenye mtandao wa YouTube wakidai wao ni watu wa asia ila uchangiaji wao ndio...
Two terrorists having a discussion in a bar.
WAITER asks them what the discussion was about.
TERRORIST we are planning to kill 14 thousand people and one donkey
WAITER with surprise. But why a...
Kuna wanachama hujawaona jukwaani kwa muda mrefu?
Au hujakutana nao kwenye nyuzi mbalimbali kwa muda mrefu?
Watumie salamu member watatu uliowamiss...!!
Wadau wa JF nisaidieni kwa haya:
Je NSSF bado wanatoa fao la kujitoa kwa watu walioacha au kufukuzwa kazi?
Je wanalipa pamoja na riba?riba kama ipo inakokotolewaje>
Je naweza fungua madai ofisi...
Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho:
Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu,
Je unachagua kwenda wapi?
MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda...
Sipati picha mimi jamani. Wakikutana wanacheeeka mpaka wanagaragara. Esther anamwambia mumewe eti bebi wameniambia nifute picha zako huko inta sijui wanafikiria sijui sura yako[emoji16]?David...
Jamani namtafuta uyu dada toka alipohama arusha secondary mwaka 2002 ckuweza kumpata tena,though kwenye mitandao ya kijamii alijiita zulfa r ahmed bt hizo account ziko inactive.yeyote mwenye...
Nawaombeni Leo tufanye Karesearch kidogo lengo kuwatambua wenzetu wenye michango chanya Na kujenga
Kwa kutaja jina 1 tu.Kwa unayehisi anakugoga moyo wako kwa michango yake Na kukusaidia kifikra...
Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU
Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu...
Kiukwel kuna wakati nataman iwekwe new update ya Jf ili niiupdate yenye sehem yakubadili username haya majina yetu tunayotumia mana kuna baadhi ya watu huwa wanajikuta wanajua kuchambua username z...
Waungwana naomba kuuliza....kwa wale wanaofaham machine Za kutengenezea barabara Kama moter grader...sasa kuna Aina ya 140g
Hii inanimate Mpaka milioni 120 kwa USA...Ila kwa sasa hivi china...