Hatimae ndege joni nimetua chuo flani hapa nchini nachukua elimu za juu. Cha ajabu nilichokiona ni tofauti na nilivyokuwa nawaza kabla ya kuja kuchukua hii elimu.
Nilishazoea kujichukulia watoto...
Nikiwa Mpweke ni wewe Unanifurahisha
Nikiwa na Maumivu nikiwa nawe napona
Nikiwa na hasira nakimbilia kwako
Hisia zote mbaya kwangu ni wewe unaziondoa
Halafu eti wanasema sina Mpenzi...
Unajua mwaka 2005 wakati John anatoa wimbo wake unaitwa
Hao , mdogo wake Nickson alikuwa hafahamiki kwenye tasnia.
Waliokuwa wanamfahamu ni machalii wa mtaani kwao Daraj mbili, wakati huo...
Padri na Muuaji....
Padri amekaa katika ki-box cha kuungamisha, kanisani hakuna mtu. Mara muumini mmoja akaingia, akapiga magoti upande wa pili na kufanya ishara ya msalaba akaanza kuungama...
Habari wana JF... ukweli nimekuwa natafuta game ambalo linaitwa cubic game... ni la kupanga rangi..
Naombeni kujua hili game kwa tanzania hii au dar es salaam hii ntalipata wapi ??? Na kwa kiasi gani
Wana jamvi habari zenu kwenye pta pita zangu nime liona sana hili neno Black friday, mara nyingi nime iona mwezi huu kwenye mitandao ya njee ya nchi ya tanzania waki tangaza sana ...kuna lecturer...
Ushawahi kumpenda mtu lakini yeye hata hataki kuonekana mko pamoja? Yaani anakukwepakwepa tu!
Huo ndivyo *UHUSIANO* wangu na Pesa ulivyo kwa sasa ...........☹☹
Awamu hii Mambo si Mambo lakini...
Habari zenu wana Jf
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa na tabia ya kuwapiga watoto wa walimu endapo huyo Mwalimu alinipiga lazima nimvizie mtoto wake nimpe ngumi ya nguvu.
Nikitumwa...
Wakuu poleni na kazi,
Nimeamua kuanza kuuza ukweli baada ya kuona bidhaa hii imekuwa adimu tena sana
Kukwambia nusu SAA itagharimu sh 500 na kukueleza kwa mda wa SAA nzima itagharimu maisha...
Wakuu this is a story in dream sitaki mshikwe na maswali!
Tumeanza uchumba toka 2010,wana JF special ambao walikuwa Marafiki wa wanandoa watapewa kadi,namashukuru sana sana mshenga wangu BAK...
Ni mke... uko nyumbani mchana mmoja.. ghafla anaingia mume wako akiwa anatweta jasho na kwa kumuangala vizuri unaona ana damu kwenye nguo na mwilini kiasi.. Anaingia ndani anakusimulia...
Kaka kasafiri,kaniambia niende nyumbani kwake nikakae na shemeji nimlinde mpaka atakaporudi hofu imenijaaa sijui ni staili aliyozoe na mme wake aaaah!!mi sielewi buana anashinda na kanga tu tena...
Hakuna aliyejua kwamba Sefi Sharrif Hamad ana midevu mingi wakati yuko serikalini. Alikuwa smart hana udevu hata mmoja. Lakini Seif alipofukuzwa CCM na kuwekwa gerezani, alipotoka huko akawa ni...
Naombeni kama kuna kuna mtu anafahamu namna ya kupata material ya ualimu DIPLOMA sekondari kwa sababu tunahangaika kutafuta madukani vitabu hamna na moduli kwa kawaida imeandukwa haiuzwi.
Chuoni...
Jaman hamjambo humu ndani.kuna mtu anaitwa smile nimemis sana namtafuta yyte anaejua aliko na kama ana avatar nyingine pls nijulisheni.
Wenu askari mtiifu
Pure man
Robart Mugabe miaka 93, Grace Mugabe miaka 52. Inamaana wakati Mgabe anamiaka 41, Grace alikuwa na mwaka 1.
My friend usijilaumu kwa kukaa single muda mrefu..tengeneza maisha yako kwanza, mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.