SIONGEI ENGLISH TENA:
Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama na ndege, kwani:-
PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia anasema NOW, NOW!
NG'OMBE:Naye acposhiba utamsikia MORE, MORE...
BREAKING NEWS!!!!!
Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu...
Mtajwa hapo juu ni mtu maarufu mno hapa JF.kwa miongo kadha amekuwa akishuhudiwa akiwa wa kwanza ku comment post zote mpya. Lakini kwa hivi karibuni amepotea kimya kimya.kwa mujibu wa taarifa...
Mnunuzi wa nyumba za Lugumi zilizopigwa mnada na Kampuni ya Yono Auction Mart kufidia deni la TRA, Dr.Luis Shika amekanusha vikali madai ya polisi kwamba alikusudia kufanya utapeli kwenye mnada wa...
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu,
Katika kuzungukia hazina za mwenyezi mungu na Kwa utafiti niliofanya nimegundua wanawake na wanaume wengi hawajawahi kufika kileleni kwa sababu mbali mbali...
*HIVI WADADA WANAVYOLALAMIKA KUWA WANAUME WAKIWAPA MIMBA ETI WANAKIMBIA.... NAOMBA NIWAULIZE HIVI UKIFUNGA GOLI UWANJANI UNABAKI KARIBU NA GOLI AU UNAKIMBIA KUSHANGILIA!!!*
Nimemuuliza "WIFE"..fedha za matumizi zimebaki kiasi gani? As per this morning, ameniambia hakumbuki, mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Jioni nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm...
Boss: kijana unataka
nini ndani ya ofisi yangu?
Jamaa: Samahani
naomba kazi ya ulinzi
ndugu.
Boss: Umesoma mpaka wapi?
Jamaa: Mpaka form
four.
Boss: Unajua
kiingereza?
Jamaa: Kwani hao wezi...
Kuna picha zimesambazwa mitandaoni zikinionyesha napokea milioni 100 kama mshindi wa BIKO..Taarifa hizo si za kweli naomba mzipuuze...
Mnaonidai endeleeni kunivumilia..
Wadau,
Kuna mtu alikuwa hajui kuvaa yaani kila akivaa anavaa mibwanga bwanga. Huyo MTU alikuwa anavaa misuti ya kushonesha kwa FUNDI pale kkoo kidongo chekundu.
Huyo MTU Leo kapata ulaji anavaa...
Nimepambana Na hali yangu lakini sisadiki kwa. bkaribu week. Hadi mwezi Na nusu nimekuwepo katika maeneo. Ya Kagera lakini nastaajabishwa Na kutokumuona paka hapa Bukoba Na Haya MULEBA paka...
Naomba mtuambie hapa, wanajukwaa haswa sisi wanaume walaji wa mapishi yenu, kwenye mchuzi wa chachandu, mpaka mnapotuandalia, maini na vipaja vya kuku, raha zake na vitumbua, mix nyanya hata...
Nimelizwa kama mara tatu hivi. Mbaya zaidi hata baada ya kula na kumwambia unakuta bado muuzaji anabisha. Utasikia ni 'kienyeji sema ni majogoo wakubwa kutoka Singida, Sumbawanga etc'. Pia wauzaji...
Yani kila id ya ajabu ajabu naambiwa ni mimi ivi kwa nini?
Nimefananishwa na id ya deo kisandu,lemutuz,beirababy boy,alosto,gentamycine, na kuna moja meisahau kidogo
JOB VACANCY..
Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
... 2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.