Wageni wengi waalikwa wakati wengine wakiwa wanaitwa mbele kumuapia Mungu wao na aliyewateua walikuwa tulivu kabisa lakini mara tu mteuliwaji mpya wa Idara ambayo ndiyo yenye Pesa kuliko zote...
Mwanajamvi
Hivi huyu dada kaolewa? Huyu anayechezesha huu mchezo wa Bikko?
Kama hapana basi ngoja niweke wazi, nkiishinda hii Bikko nachumbia hapo
Tuzidi kuombeana
Wakuu.
Hii kweli itakubalika? Kesho anaenda tunduma kuvizia akifanikiwa kukamata bangi au madawa mengine eti atarudi nimpeleke wizara ya elimu apewe cheti cha elimu ya juu, anadai ukikamata...
Nimeacha kuwaamini wanawake kabisa maana juzi nilikuwa chumbani na mpenzi wangu nikavua nguo zote na yeye akavua na baada ya hapo nikavaa kondomu.Ila sikuamini alichoniambia na ndio hapo ukawa...
Asha alizaliwa katika kijiji kilicho kando ya bahari. Shughuli kuu katika kijiji kile ilikuwa uvuvi na Kilimo.
Asha alipenda sana kula samaki lakini aliona aibu kulisema hilo na badala yake...
Asalaamu alekhum!
Bwana Yesu asifiwe!
Tumsifu Yesu kristo!
Leo usiku nitakuwa live nikihost show Na Mshana Jr!,andaeni maswali ya kutosha
Karibuni sana wapendwa!
Dah... leo zilinitembelea nikaamua kwenda kula maisha...juakali nikaona isiwe tabu ngoja nipande mwendokasi kutoka Fire hadi Kisutu....mbona pesa ninayo....
Kituo cha Fire kina urefu wa karibu...
habari wanajukwaa
Kuna binti mjuvi mwenye urembo uliotukuka alizama ktk 18 zangu( maeneo ya kujidai) tukapanga nikamle akadai bado bk...nilijawa na shauku Kali nikizihesabu siku zitimie kama...
Chemistry lilikuwa somo moja la ajabu sana...[emoji23]
Unaingia exam room unakutana na Q1 ambalo hujawai lisikia tangu form one..
Unaenda Q2...unakuta linasema explain your answer in Q1...
Jamani leo ni siku ya kushika matiti ya wanawake duniani "World Breast Touching Day". Hii ni ili kuwasaidia kinamama wasipate kansa ya matiti. Ikitokea umepatiwa huduma hiyo na yeyote usilete...
Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa...
Hakuna msichana anaekuaga busy kama ambae hakutaki...
Anaweza kukuambia good night saa 8 mchana
Wanaume tunapitiaga mengi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.