JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari za asubuhi wanajamvi. Naomba msaada kujua uimara wa hizi gari sifa za uzuri wake na ubaya wake pia, na kuhusu spare zake hapa nchini kwetu zinapatikana? Je! Ili iweze kudumu na vitu gani...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba kupata uelewa kati ya engine 1GD Diesel na 2TR Petrol zote za Toyota Land Cruiser Prado. Ipi ni nzuri kwa durability, fuel consumption na parts? Zote ni CC 2800 Sent using...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana JF. Nimefungua duka la spare kwa ajili ya magari ya EUROPE kama VW,AUDI,BMW.M.BENZ,JAGUAR,VOLVO,RENAULT,CITROEN,PEUGEOT,VAUXHALL,OPEL,PORSCHE CAYENNE,L.ROVER RR DISCO 2/3/4 na ALFA...
17 Reactions
115 Replies
26K Views
Wakuu salama?! Naomba kufahamishwa kuhusu gari aina ya "Nissan Dualis" kwanza ulaji wa mafuta, vipuri vyake, kadhalika stability yake barabarani! Nawasilisha![emoji1756] Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Huyu mnyama kasimama balaa its my dream car but bei yake mkasi kinoma. Ngoma ya 1997 mailage inasoma 154,000 km cc3100+ price inagonga $25,000 Za kuanzia 2003 ngoma inaanzia $34,000 kudadeki...
10 Reactions
90 Replies
18K Views
Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu na uzoefu wa wakala wa uagizaji magari kutoka nje ambao hawana longo longo.
1 Reactions
60 Replies
16K Views
habari za jioni wapendwa, Hivi karibuni nimenunua gari Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. Naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi ni kimeo. Ushauri Wakuu
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Salam wadau!! Ninahitaji kununua truck kwa ajili ya kubeba mizigo maeneo ya mjini na wilaya za karibu ambazo kwenda na kurudi haizidi 200kms. Mizigo ninayotarajia kubeba ni tani 4 mpaka 5...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Vipi WanaJamii Kwa mda mfupi nliliokua hapa nimeona wengi wakilalamika kuhusu gari hizi za Nissan. Kweli kila mtu ana haki na uhuru wa maoni/mawazo yake ni muhimu kufanya maamuzi na kua na mawazo...
5 Reactions
70 Replies
20K Views
Habari wana jf, Katika hali ambayo sikutarajia nimejikuta na fungia ndani smartkey ya gari aina ya Mark X na hivyo gari imejilock na sina namna ya kuifungua maana sina spare key plus nilikua na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nipeni msaada Wakongwe kwenye masuala ya magari,ipi ni gari imara na spare za bei nafuu pamoja na ulaji kidogo wa mafuta kuliko kuliko nyingine? Pamoja na sifa zingine za ziada, navunja kibubu...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wana jukwaa habari, Poleni na corona ok any way twendeni kweny point. Katika kujichanga changa kwangu kuna gari moja nataka ninunue inaitwa NISSAN ipo kama IST flani hivi inatumia umeme ina...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu! Nina Toyota Brevis ina engine ya 1jz fse D-4. Engine hiyo haipo sawa, mara kwa mara inanisumbua kwa kutoa moshi mwingi na kuzima zima ghafla. Nimebadili nozzle mkanda mzima, nimebadili...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao. Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu humu, Juzi nilikuwa natoka Dar es salaam na gari aina ya Toyota Porte, nikatoka vizuri Dar es salaam tulipofika Manyoni gari ikachemsha, tukaenda kwa fundi akafungua injini akasema...
3 Reactions
155 Replies
22K Views
Poleni kwa kazi wananzengo. Naomba msaada wa anaejua taratibu za kubadili umiliki wa gari vitu gani vinahitajika kuwa navyo na kiasi gani cha fedha cha kulipia? Asante Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu nina gari yangu Cresta ina Injini ya GX 100 ambayo bado mpya ila bodi limechoka,nataka kubadili matumizi iwe ya mizigo je ni bodi la gari gani inaweza kuingiliana na injini...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa nataka kununua Gari, kutokana na kutokuwa mzoefu na mambo ya magari na hii ni mara yangu ya kwanza kununua gari nikaamua kumtumia ndugu yangu ambae ana gereji yake nikiamini...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu kuna gari ya nyumbani ambayo ni Suzuki Grand Vitara mafundi wanasema imekufa engine, so tulitaka tuibadili engine lakini iwe ya automatic. Je, inawezekana na wapi nitapata mafundi wazuri wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…