JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Naomba mwenye uzoefu anijuze juu ya gari Suzuki Escudo Engine CC 2390, hizi new model (third generation) ulaji wa mafuta (fuel consumption - ltr/km). Pia kama engine ni VVT-i na mengine juu ya...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kuna fundi aliniambia kwamba petrol ni nyepesi na hivyo huhitajika kiasi kikubwa ili injini ipate nguvu ya mzunguko. Ila diesel ni nzito kuliko petrol hivyo huhitajika kidogo ili kusukuma injini...
2 Reactions
124 Replies
38K Views
Habarini? Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19. Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
JE, KUNA UKOMO WA IDADI YA MAKOSA UNAYOTAKIWA KUANDIKIWA KWA SIKU AU KWA MARA MOJA NA ASKARI MMOJA? Huenda ni swali linalokusumbua mara kwa mara. Jibu la swali hili ni HAPANA hakuna ukomo. Askari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni na kazi wadau, Naomba kujuzwa kati ya gari aina ya suzuki jimny na suzuki kei, ni ipi inafaa kwa safari ndefu pia perfomance ya injini kwa zote ikoje. Ninatanguliza shukrani.
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Mimi sio mtaalam sana wa ufundi wa magari ila ningependa kuuliza je inawezekana ku swap engine ya brevis ya 2jz na kuweka hata ya crown ya 4GR izi 2500cc. Maana imekuwa hatari
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu poleni kwa usumbufu... Naomba kufahamishwa juu ya hii gari yenye cc 650... Nimeipenda kimuonekano ipo juu juu sijajua uimara wake na je kwa gari yenye cc ndogo kama hiyo naweza kwenda nayo...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Naomba msaada mwenye uzoefu na gari hii TOYOTA NADIA UIMARA, BEI NA ULAJI WA MAFUTA
1 Reactions
21 Replies
12K Views
Wadau naombeni ushauri. Mimi si mtaalamu wa magari ila nahitaji kuwa na gari kwa ajili ya familia ya watu kama saba hadi nane na matumizi ya hapa na pale, safari za kazini na mara chache safari...
0 Reactions
26 Replies
14K Views
Wakuu habari za muda huu? Niliagiza gari tajwa hapo juu siku chache zilizopita ile imefika spika zote zimeibwa, ni wapi naweza kupata spika na twita zake za replacement? Hasa za mtumba.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu nataka kununua gari hususani brand za Toyota kama vile IST, Raum, Wish, Ipsum, Subaru, Kluger n.k. Je, ubora na uimara wa injini nitajuaje au nifanye nini nisiingie pori?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu huu Ugonjwa Chain yake ni ndefu sana na unaenea kwa kasi sana. Tuchukue tahadhari madhubuti. Sasa nije kwenye lengo kuu, Ni kuwa katika harakati za kuepuka kuwa Mwana wa Israel (kutembea...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarin za usiku huu ndug zangu,.sitaki kuwashosha ngoja nienda moja kwa moja kweny mada. Nna pikipiki yangu aina ya fekon ,nliinunua mwaka 2015..na haikunletea shida Hadi hivi majuzi ndo imeanza...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
heshima kwenu wadau naomba kupata msaada Wa taarifa juu ya upatikanaji Wa spare parts za Suzuki Jimny. kama zinapatikana kirahisi au lah. kuna jamaa nimemuuliza kasema nisinunue hiyo gari...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Wakuu heshima nyingi ziwafikie Naomba kujuzwa uhusiano wa kiasi cha mafuta unachoweka kwenye gari na matumizi yake. Zipo habari kwamba ukiweka mafuta mengi kwenye tenki la gari yako (mfano full...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Rolls Royce debuts its first ever SUV at a price tag of $325,000. Specifications: Rolls-Royce Cullinan gets the same 6.75-litre twin-turbo V12 petrol unit from the Phantom, but retuned. The power...
4 Reactions
34 Replies
7K Views
Jamani leo asubuhi nimeona jambo la ajabu kwenye gari yangu Pale kwenye top cover Kuna vuja oil ambayo inaenda kuungua chini na kutoa Moshi mwingi Sana So please wandugu kama kuna mtu anajua...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada. Nina Tractor yangu kwa jina inaitwa Iseki ni ya Kijapani. Kuna kosa nilifanya oil ikaingia kwenye clutch assembly sasa nauliza je naweza safisha pressure plate au ndo ishakufa hivyo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mwanajukwaa mwenzenu japo si wa muda mrefu ila naheshimu Sana jukwaa hili kuwa ni mahali pa kupata maarifa mapya, ushauri kutoka kwa wabobezi. Kwa kufupisha tu ni kwamba nimekuwa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom