JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kuna gari hapa nyumbani, imenasa kwenye "D". Ile gear lever ni laini, inasogea mwanzo mwisho ila pale kwenye Dashboard imenasa kwenye "D". Shida inaweza kuwa ni ipi? Nani ameshakutana na tatizo...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mambo vipi wadau Naomba kujua kuhusu ushuru wa kuimport pikipiki Kuna namna yoyote ambayo ninaweza nikaona kwenye mtandao wa TRA? Au unakadiriwa pindi waonapo pikipiki?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
naomba contacts za lumumba driving school please.
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Naomba kufahamu mambo mazuri na udhaifu wa Nissan Vannete NV 200. Hasa kwa matumizi ya barabara za changarawe. Mimi ndiye dereva. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba kujua kama hii gari ni 4WD maana kwenye zile icons kwenye dashboard kabla ya gari kuwaka kuna moja wapo ina alama ya 4WD lakini hakuna button kwenye gari ya kuengege. Je...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya kujichanga changa hatimae nimetimiza mpango wangu wa mda mrefu wa kujikomboa na swala la usafiri mwezi huu, juzi nimekamata chombo changu rasmi..ni Toyota Opa nimeikwarua kwa jamaa yangu...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Msaada kwa wale wataalamu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Gari yangu ni grande mark 2 gx 90 injin yake ni six cylinder cc 1987 sasa inatumia mafuta sana nilitaka nibadilishe injini naomba ushauri injini nzuri ya kubadilisha ambayo itakua na unafuu wa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hivi hii batani kwenye Gari uwa inafanya kazi gani? Maana Mimi naionaga ila sijui kazi yake nini kwenye Gari pamoja na kwamba, Mimj nibDereva. Hapa iko OFF, ila ukiiweka ON Gari inapiga Alam. Hii...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Haya tirika sasaa na tupia na video km unaweza kusapoti jibu lako...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Habari zenu Wakuu, Poleni sana na COVID-19. Naomba msaada wa kupata tairi (specs: 225/55R17 97H) nne za gari. Nimejaribu kutafuta lakini kila napouliza wana za kichina au south korea lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kujua tatizo hili lina sababishwa na nini. Nikitembea mfano speed ya 80 kwa dakika 5 hivi hasa wakati wa mchana AC hatoi ubaridi kabisa nikupunguza mwendo mfano speed ya 50 tuu kama sekunde...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox. wengi hufanya hiv kwenye miteremko Naomba anaejua anithibitishie...
1 Reactions
29 Replies
10K Views
Wakuu naomba mtaalam wa magari anipe ufafanuzi wa ubora wa hizi gari nilizotaja hapo juu! Dadavua kadri unavyofahamu!
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Kwa wale mnaojua ufundi wa wa magari na wenye aidia na mambo ya ufundi. Hivi Steering Rack ikiisha anza kuvuja, inaweza kutengenezwa? Au ndo inakuwa tayari imeharibika ni kuitoa na kuweka mpya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vifaa vya uokoaji maisha kwenye meli ni zana ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu meli au waliopata ajali kwenye maji. Usafiri wa maji tumekuwa tukiutumia kila mara na ni...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Gari ni Verossa.. Ni automatic transimission, tatizo lake ni kwamba naweza nikatembelea vizuri tuu ila ikifika sehemu ya kupunguza spidi labda kwenye tuta au korongo, nikishataka kukanyaga tena...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi naombeni mnielekeze utofauti kati ya full time 4wd na part time 4wd zinafanyaje kazi asanten
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari. Kwa maisha ya sasa gari imekua kitu cha muhimu sana. Pamoja na kwamba kuna Uber, Taxify, Taxi, Bajaji, Daladala na Bodaboda, bado private car ina-umuhimu wake. Kwa wasio na magari...
11 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu. Ninataka kujifunza kuendesha gari, haya magari madogo ya familia. Je, wiki mbili zitanitosha kujua kuendesha manual na automatic?
5 Reactions
100 Replies
32K Views
Back
Top Bottom