JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Mteja wetu mmoja kauliza swali hilo, 12HT ni nzuri kwenye upande wa matumizi madogo ya mafuta ukilinganisha na 1HD-T au 1HZ-T. Changamoto ya 12HT ni kuwa ni ya kizamani na hivyo kui-service ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni radio aina ya Sanyo ina cd player nashindwa kurekebisha saa yake!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya jioni wakuu, naomba kufahamu kuhusu ubora wa gari tajwa hapo juu, ulaji wake wa mafuta, upatikanaji wa spea na nk.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Haya, Wale wenye uzoefu nishaurini. Nimepambana kwa Mchina hapa, mwisho wa mwezi huu akinilipa mshahara ninataka kuvuta usafiri huu moja kwa moja kutoka JAPAN. MAZDA Axela Sport ya mwaka 2004...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu kuna hiki kitu ukimuuliza MTU yoyote hata mafundi wazamani wakongwe ukimwambia suala LA kustua Gari ya automatic atakwambia haiwezekani kabisaa.ukimuuliza why na akupe sababu atakupa sababu...
0 Reactions
141 Replies
45K Views
Wakuu naomba mwenye ujuzi anitajie Spark Plug gani nzuri kwa injini ya 1NZ FE hii injini common kwenye IST, Spacio, Raum na Runx. Mwenye ujuzi tafadhali naomba recommendation.
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wana JF. Nina mpango wa kununua gari miezi ijayo mwaka huu. Ninaishi na kufanya kazi offroad. Hivyo nimefikiria kati ya machaguo mawili. Prado SX na Hilux Surf. Je nichukue ipi? Nipo open...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Nimeenda kwa fundi (Hapa Arusha) akaniambia gari yangu (VX-Diesel ya 2000 & Manual) imekufa vifaa vifuatavyo; 1. Booster ya Break (tatizo: ukikanyanga break gari ikiwa on inafanya kama inapiga...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Magari yapo mengi barabarani na mengine tunayamiliki. je tunajua nchi zinazomiliki kampuni za magari hayo? 1. TOYOTA, NISSAN, ISUZU, SUZIKI,MAZDA, HONDA na MITSUBISHI-JAPAN 2. MERCEDEZ BENZ, MAN...
5 Reactions
100 Replies
44K Views
Wadau nina gari langu Toyota Starlet Carat. Tatizo ni kwamba nikiwasa linatetemeka (vibrate). Mounting za Engine ziko vizuri. Je, tatizo itakuwa ni nini?
1 Reactions
25 Replies
16K Views
Ndugu wana JF, naomba kutaka kujua nahitaji gari ndogo atleast Starlet nimetenga bajeti ya 3.5 mpaka 4 million. Naomba mwenye uzoefu na hii gari afunguke mfano ulaji wa mafuta, uimara wake...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Gari yangu aina ya gx110 ukiwasha inajipiga lesi yenyewe na taa ya check engine inawaka. Naombeni msaada Namba yangu ni 0625998457
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, kuna mdau anahitaji gari tajwa hapo juu.. Iwe haijasafiri Sana Haijapata ajali na kurudiwa rangi Iwe na cc 2.4 Iwe na hali nzuri Iwe namba D Bajeti yake ni tshs 16 m Karibuni..
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na...
1 Reactions
71 Replies
19K Views
Naomba mnifahamishe nikiwa kwenye gear namba 5 au 4 alafu natakiwa nisimame umbali ambao sitaweza kupangua gear hadi kufika namba moja je nitafanyaje? Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
54 Replies
11K Views
SABABU ZA GARI KUCHEMSHA 1. Kuvuja kwa mfumo wa upoozaji 2. Kuziba kwa njia za rejeta 3. Kiwango kidogo cha Oil 4. Tatizo la pampu ya maji 5. Tatizo katika feni za kupoozea injini ISHARA ZA...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wajuzi naomba nipeni elimu kidogo nataka kuchukua ndinga kwa mtu ni Toyota Allex, ni vitu gani vya muhimu kuangalia na kuchunguza kabla sijatoa hela nisije kupigwa.
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Salaam wakuu, kwa wazoefu wa kuagiza magari nje naomba kujua hii gari hapa chini mpaka naikamata mkononi niandae kiasi gani? Nikimaanisha naomba gharama zote ambazo natakiwa kuzufahamu. Gari...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Nina Budget Ya Tsh Milioni 10, Je Naweza Kuagiza Gari Ipi Nzurii. Sifa Iwe Imetembea Si Zaidi ya Kama 50,000, Mwaka Kuanzia 2009 Kupanda Juu, Ikiwa Ndogo Yeyote Sawa Ilimradi Ndio...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
saada tutani sijawahi miliki gari nataka mwisho wa mwezi huu ninunue gari Kati ya TOYOTA SPACIO NEW MODEL AU TOYOTA RASTICS SASA Wadau na wazoefu nipeni ushauri.
1 Reactions
23 Replies
15K Views
Back
Top Bottom