Tukielekea sherehe za Christmass na Mwaka mpya, kuna madereva wapya na wale wa zamani watakaokuwa safarini sehemu mbalimbali, Iwapo ikatokea upo kwenye mwendo na breki kwenye gari zimefeli, jaribu...
Habari wakuu,
Naomba msaada, kwa anayefahamu gharama za ununuzi wa Bajaji mpya aina ya TVS (Dar es Salaam)
1. Bei ya Bajaji
2. Bima
3. Leseni ya Barabarani
Natanguliza shukrani.
Sent using...
Habarini za mchana wandugu,
Ninaomba msaada kati ya brevis na subaru legacy wagon ipi ambayo ipo cheaper interms of running costs? Mimi ni mgeni kwenye mambo haya, that is why naomba ushauri kwa...
Mafuta ni kitu muhimu kwenye gari, Ni mara kwa mara tunayajaza haya mafuta lakini tukumbuke pia unaweza kupigwa mchana kweupe.
Hakikisha kabla hujajaza mafuta ile pump ya kujazia imerudishwa...
Habari wanajukwaa, Naomba Kusaidiwa Bei ya Pikipiki aina ya BOXER au TVS kwa Bei ya dukani hasa kwa Agents wao...
Nilitaka kuingia Kariakoo nikaambiwa huwa Wanachakachua Engine nikinunua...
Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea...
Dear Members and team,
Kindly jamani naomba inputs (suggestions, complements and advice) kuhusu gari aina ya Subaru legacy TA-BH5 ya mwaka 2003 in term of the following;
- Durability and robust...
Habari bandugu.
Naomba kwa wataalam na wajuzi waliobobea kwenye aina za magari tajwa hapo juu nipate ushauri kutoka kwenu kabla ya kufanya maamuzi binafsi maana naamini kipato changu ni katika...
Jifunze kuendesha boti ndogo ambayo inatumia usukani (wheel) au ile ambayo hutashika ekseleta (throttle) iliyopo kwenye mkono uliunganishwa na engine.
Awali itabidi ujue namna gani ya kuwasha...
Msaada tutani sijawahi miliki gari nataka mwisho wa mwezi huu ninunue gari Kati ya TOYOTA SPACIO NEW MODEL AU TOYOTA RASTICS SASA
Wadau na wazoefu naomba ushaurii
Aisee.
Mimi mpaka sasa ni miaka 29 imeshanipotea katika umri wangu na sijui kuendesha sio gari tu hata pikipiki siwezi. Kwetu hatukuwa/hatuna gari labda baiskeli ya matairi mawili (Phoenix)...
Habari zenu wana Jf
Najua tunapambana sana katika kutafuta mafanikio ya kimaisha, mimi katika harakati zangu kama kijana nimeanza kwa kutafuta elimu kwanza na kufikia ngazi ya Diploma in...
Katika ingine ya gari ukiwasha unasikika ule mgurumo kuwa engine iko on sasa kwenye engine ndani crengshaft ndio huzungusha piston na mbele ya crengshaft ndiko hufungwa 'panga boy' kwa ajili ya...
Ole Envirude alizaliwa nchini Norway katika mji wa Gjøvik tarehe 19/04/1877 baada ya miaka 5 familia yake ilihamia nchini Marekani katika eneo la Cambridge, Wisconsin. Tangu utotoni alipendelea...
Habari wakuu, naomba kuuliza na kupata ukweli juu ya hili. Je ni kweli hapa Bongo kuna watu wanaweza kurudisha nyumba ODO kilometers? Na hasa hawa watu wa showrooms, au ni uongo unaelekea kuwa ukweli?
Kwa mwenye experience na hii kitu Tafadhali. Gari Ni subaru Impreza.
Kwa mwenye experience..nahitaji kujua
1. Gharama
2. Performance ya Gari baada ya kubadili
3. Fundi mzuri
Wadau naombeni mwenye kujua namba ya hii rangi, nimezunguka sana nimekosa namba yake. Mwenye kujua naomba msaada. Nimeipenda rangi hii ndio maana naitafuta. Msaada wenu ni muhimu kwangu.
Sent...
Kuna sehemu tumeulizwa kuhusu tofauti ya Toyota Wish na Toyota Isis. Tumempatia majibu yafuatayo.
Hizi gari mbili ni ngumu sana kuzitofautisha kitaalamu kwa sababu injini na gia box zinafanana...
Wakuu habari za mida,
Msaada wa kifahamu sehemu wanazojaza mafuta ya shock obsober/shock up kwa hapa Dar, niliuzia geniune shock up za Nissan Tiida ni 600k, nilifunga za Wachina 150,000/= mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.