Hiki kioo nimeweka kipya mwezi January tarehe 30, sasa leo nikiwa nasafisha gari, kwenye kioo cha nyuma kwa kutumia maji sabuni ya unga na mchanga kidogo ili kuondoa magundi yaliyong'ang'ania mara...
Mzuqa,
Yani binadamu hapana.
Porshe Carrera GT bei yake ni dola laki saba za kimarekani baada ya kodi kabla ya kodi 500k$ karibia billion 2 madaf. Na kuna masenge yamenunua haya magari...
Jamani mnaojua kuhusu hili gari nijuzeni...kuna jamaa yangu anataka niuzia.
Ila kabla sijafanya nae biashara nimeona nije huku mnipe siri ya hili gari..
Je,matumizi yake ya mafuta vip?
spea zake...
Mafundi na wenye magari naomba kueleweshwa tatizo la gari langu. Asubuhi nimeamka kwa ajili ya kwenda Kanisani, baada ya kushusha handbrakes na kuanza kuondoka, tairi la upande wa kulia nyumba...
Kuna sehemu Facebook nimeona thread ya jamaa anajita mtaalamu wa magari anajinadi eti ni bora tukaachana na vibaby walker tujikite kwenye crown jini mla mafuta, binafsi ametoa chai nyingi, je hii...
habari wadau naomba watu wenye kufahamu ubora wa Toyota Vanguard yenye 7 seats ambayo ni 4WD na isiyo 4WD, ipi ni bora kwenye shughuli za kila siku hapa DSM na kusafiri mikoani Arusha , Moro, Mbeya.
Wana member
MSAADA NATAKA kununua Motor sijajua hizi za kichina zipi nzuri. Ana SIZE NA SPEED GANI ifungwe kwenye kinu SIZE 75 Cha kusaga na kukoboa ROLA tatu. Kiwanda kitasaga na kuuza unga na...
Wakuu heshima kwenu
Kwa hizo mileage ambazo gari imetembea kama inavyoonyesha hapo 209,000 cash bila kupepesa macho ikiwa Japan kwa Bongo naweza kuendelea kuitumia tena kwa kipindi kirefu...
Habari
kwa mafundi, kupaka upya rangi gari km hii hapa kwa dar inaweza kuwa bei gani. nataka iwe black metallic. Haina mikwaruzo kivile cha muhimu rangi bei yake inaweza kuwa bei gani
Itakuwa...
Habari,
Huwa kuna kipindi shirika la unhcr huuza magari yao yaliyoshatumika.Kwa anayejua, sio anayedhani, anayejua, gari km hii hap iliyoshatumika unaweza pata kwa bei gani?
Ni kitu gani dereva anatakiwa kufanya cha haraka endapo chombo chako cha usafiri utagongwa na gari jingine na sehemu ambayo huwezi kupata msaada wa traffic kupima ajali? Ni kitu gani natakiwa...
Kama kichwa kilivyo,
Nilinunua battery ya gari March 2019, leo imekufa narurisha dukani , wanagoma kunibadilishia wakidai ilitakiwa ninunue battery kubwa zaidi kwa ajili ya hiyo gari...
Polen na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa na gari or kuwa na ndoto ya kumiliki gari ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini, nime make tuela kangu, sasa sijui ipi nichukue...
Salaamu wadau,
Nimepita Alibaba site nimeona Rims za gari ambazo bei ni nafuu sana ukilinganisha na wauzaji wa hapa ambazo ni ghali sana.
Naomba kujua gharama za kodi, kwa wallio wahi kuagiza...
Habari wakuu,
Kuna kibaby walker niliagiza, sasa kimefika. Nimeongea na kampuni ya clearing wamenipa hizi gharama, ningependa kujua uzoefu wenu kama zipo sawa mana nadhani mnajua hapa mjini...
Wadau wenye utaalamu na masuara ya Aviation naombeni mnisaidie hapa.
Je, pale inapotokea hitilafu na ndege ipo angani na same time kwamba may be Pilot anajua kwamba hii inaenda kutokea ajali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.