Natamani namiliki Nissan Dualis pamoja na vitisho vyooote kwamba ntateseka kununua gari nje ya Toyota.Kama title inavojieleza,naomba yafuatayo:
1. Anayejua anielekeze wapi kuna garage ambako...
Kuna hii gar nimeipenda ila sasa millage inaniogopesa maana ipo kwenye km 200,000
But ka gar ukikaangalia ni kazuri kweli halafu ni latest cha 2009. Nimepiga pia tra inaweza kuwa kama 7 million...
Wadau ninahitaji kupata wataalam wa kurekebisha Rims za gari.
Aluminium Rims zangu zimepasuka na bado nazipenda; kama kuna mtu yeyote humu jukwaani anafahamu walipo wataalamu hao please...
Nianze uzi huu kwa kutambua uwepo wa watu mbalimbali na wenye ufundi na ujuzi wa kila aina. Kuna kitu bado wamiliki wa magari wanashindwa kukielewa pale ambapo wamekuwa wakipeleka gari zao kwa...
Kuna wizi mpya umeingia, mjini haswa kwa wenye magari yanayotumia remote control.
Nadhani wataalamu wameshatengeneza remote yenye kuweza kuingiliana na remote nyingine hivyo kwa sasa remote za...
Wakuu,
Ni ipi sababu ya muhimu sana kiasi kwamba mabasi makubwa huwekwa kwenye silencer muda mrefu sana hata masaa mawili,kwa mfano gari inaweza kuwa inaondoka SAA 1.00 kamili asubuhi lakini...
Wakuu naombeni kujua gharama ya shockups na fan belt kwa gari tajwa kwenye kichwa cha habari.
Kuna hela nimeokota na nimempata mtu anayetaka kuniuzia gari hilo, ila ameniambia itabidi nibadilishe...
Wadau salama?
Naona sasa imekuwa kawaida kukuta either mtu ana kidumu cha mafuta au ghafla gari imeishiwa mafuta Barbarani.
Kimsingi kila aina ya gari au chombo cha moto kina reserve kiasi cha...
Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1.
Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Habari.
AC katika gari yangu haitoi ubaridi kabisa. Inatoa upepo kwa nguvu tu, ila upepo hauna ubaridi wowote.
Mfano, jana nilijaribu kuwasha feni hadi mwisho nikiwa nimezima AC na nikiwa...
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vyema na maandalizi ya X-mass na Mwaka mpya 2020.
Nahitaji fundi mzuri au gereji nzuri ya TOYOTA kwa MWANZA MJINI.
1. Nina Rav4 engine D4 ina kamlio fulani...
Vyanzo vya kutetemeka kwa usukani
Unakwazika na hali hiyo? Hauko peke yako. Hili ni tatizo kubwa kwa madereva wengi, mara nyingigari hucheza katika mwendo mkubwa na mara zote gari ikianza...
Napenda kuuliza magari haya ya VOLSKWAGEN Touareg,kuhusu spea,uimara na comfortability barabarani.Hii gari naipenda sana na vile vile kuna gari aina ya FORD explorer nataka ninunue kati ya TOUAREG...
Wadau salama,
Kwa wataalamu wa mambo ya miziki garini, namaanisha redio za kwenye magari nahitaji msaada kidogo.
Nimenunua Kenwood Radio ya kwenye gari model ya 2018 (KDC-X303)
Nahitaji kujua...
Habari zenu wakuu,
I hope mnaendelea vema na majukumu..
Naomba kuuliza ni vitu gani vya kuzingatia kama unataka nunua pikipiki au gari? Ukiachana na kujua kuendesha?
Mie najua labda inabidi uwe...
Habarini wakuu, nina gari Toyota Vits RS Manual Transmission. Hii gari ina matatizo yafuatayo:
1.Ina miss ambayo haiishi. Nimesafisha nozzel na plug zote ziko poa.
2. Ukiwasha gari asubuhi RPM...
Wakuu habarini,
Nina gari ambayo seat orientions zake ni za umeme, sasa asubuhi niliisogeza sana mbele naijaribu sasa hivi hairudi nyuma.
Kwa wenye uelewa naomba msaada nifanye nini au kama...
Wanabodi,
Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.