JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kama kuna changamoto yeyote uliyokutananayo wakati unaanza kujifunza chombo cha moto gari, pikipiki tupia hapa, naanza mimi. Ilikuwa ni kwenye kota za NDC Mitaa ya Masaki, kwenye kota huwa kuna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mzee mmoja kanisimulia kwamba miaka ya 1970 gari aina ya Peugeot 404 na 504 ndio zilikuwa habari ya mjini, na wenyewe walizipa jina la utani la 'Guruwe', ila nikasahau kumuuliza nini chanzo...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Range rover za zamani zilikuwa na hadhi ya kiume yani ukiendesha barabarani utasikia mwanaume huyo kapita. Unaweza ukawa na mke wako kwenye kivitz chenu ukamsikia mkeo anakwambia "umemuona...
3 Reactions
54 Replies
9K Views
Habarini wakuu, naomba msaada wa gari tajwa hapo juu. Mimi mgeni kidogo wa hizi gari, je mnaweza kuniambia hii RAV4 uzuri wake na ubaya wake ni manual, na ulaji wake wa mafuta. Asanteni sana
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Natafuta landrover kama hii HAPA Spec: 1. Isizidi 2,490cc 2. Diesel 3. Right hand 4. Iwe bado haijaanza kutumika TZ 5. Airbag 6. Sunroof 7. Mileage <= 100,000 km 8. Color : Kama ilivyo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wadau, natumai Ijumaa yetu inakuja vizuri. Natumia gari aina ya Mitsubishi Outlander, week iliyopita nilijaribu kuifunga GPS kwa ajili ya kuikodisha ila tangu ifungwe GPS imeanza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
2006 TOYOTA PREMIO Reg.Year / Month 2006 Fuel Type PETROL Engine Size 1,490cc Transmission Type AT Drive Type 2WD Doors 4 No. of Seats 5 Colour SILVER Air Conditioning Power Steering Power...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Pleese naombeni ushauri kati ya hizi gari ipi ambayo inaweza kunifaa kwendea kazini na kurudi , utumiaji wake wa mafuta uwe mdogo 1.brevis 2.toyota Alex 3.Altezz 4.Verosa Nafikiria kununua na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Eti kodi ya Toyota Hilux ya mwaka 2012 ilinunuliwa kwa 50 Million Tzs ikaingizwa nchini kwa msamaha. Itakuwa sh ngapi kwa sasa kama mtu akiinunua kutoka kwa mhusika?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau nina gari Toyota L/C Prado Engine 1KZ - CC 4166 matumizi ya diesel yalikuwa lita 1 kwa km. 9 kama mwezi mmoja uliopita kwa sasa hivi inatumia lita 1 kwa km. 5. Naomba mwenye utaalam wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau, napenda kuuliza bei ha Yamaha YBR zinaenda beingani hasa pikipiki ambayo imetembea chini ya 40,000km ila vitu vingine vikiwa safi, na iwe imetoka kiwandani kati ya 2015 - 2019. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji injini ya pikipiki used aina ya Kinglion, aliyenayo tuwasiliane Whatsapp 0672 578 164.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza, muongozo unahitajika kumpata fundi wa namna hiyo. Either eneo alilopo au namba yake ya simu, hapa Dodoma. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, inatokea nikiwasha gari inachelewa kuwaka. Ama nijaribu mara kadhaa ndo inawaka. Msada tafadhali. Naweza kuwa naendesha ikawasha taa kwenye dashboard ya 4x4 eml, handbrake halafu baada ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeona watu wengi wakilalamika Noah kuchemsha mpaka kusababisha injini bloku kupanuka, kubadili injini au kupiga pasi sijui cylinder head. Suluhisho lake ni nini kwa hizi gari kuchemsha?
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu nataka kununua Toyota Hilux Double Cabin, ila changamoto ni kujua engine gani hazina usumbufu katika gari hiyo.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini. Natamani kujifunza caterpillar nimeambiwa VETA wanatoa kozi hiyo lakini unatoka hujui kitu chochote. Je wapi naweza kujifunza na ada ni bei gani?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamanii nataka kununua gari ya kutembelea kati ya Toyota Premio new model cc 1496 Na Subaru impreza1496. Ipi ipo vizuri kiuimara? Toyota Premio Subaru...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi, Najua ni mara nyingi ushajikuta mahali ambapo gari lako linatakiwa ununue spare mbalimbali. Sasa najua wengi hapa twatengeneza gari kwa mafundi mchundo na najua ushawahi kukutana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom