Salaam wakuu....
Kwa bajeti ya 15.5M nitaweza kupata toyota harrier old model kwa kuagiza toka Japan? Hapa namaanisha niwe nimelipa kila kitu naliingiza barabarani.
Pia naomba kujua hizi old...
natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission/four clinders. whatsapp me 0627929219.
machaguo:
corona
corolla
carina ti
starlet
asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau,
Kuna rafiki yangu anaishi South Africa nilimpa wazo la tufanye partnership ya yeye kuwa ananiagizia spare za magari Tanzania, kwa magari ambayo vipuri vyake kwa Tanzania ni ghali au...
Habar za muda wakuu,
Mimi nina shida. Nimeagiza IST yangu soon inafika. Naomba kufahamishwa gharama nitakazolipia hadi kupokea gari, nje ya zile za kikokotoo cha TRA kwa sababu hizo nazijua...
Habari zenu
Natarajia kuhamia Arusha kutoka Dodoma baada ya mwezi na nataka kusafiri na vitu vyangu...nina vitu vya chumba kimoja cha self tu! Nahtaji kupata information ya watu wanosafirisha vitu...
Wakuu,
Kama unamiliki bodaboda, bajaji na daladala, karibu tujadili changamoto tunazopata kutoka kwa watu tuliowaamini na kuwakabidhi vyombo wasimamie.
Pia kama wewe umewahi kuwa dereva au ni...
Naombeni ushauri.
Ninahitaji gari ya 25M lakini napendelea gari nzuri na iwe nzito barabarani inayotulia isihame, maana nilizoea magari mazito ya chini ila sasa hivi nahitaji gari la juu kidogo...
Kati ya Toyota Spacio na Toyota Wish ipi ni imara na inafaa kwenye mazingira yetu ya barabara mchanganyiko (tembea kidogo kwenye rami na kidogo kwenye vumbi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Habari
Personally nimenunua babywalker Daihatsu Terios Kid cc 660 na hivi ndivyo nlivyoviaona mpaka sasa;
Gari:
kwanza lina turbo(bila
Intercooler), max speed 140kph, tank capacity ni...
Hii gari, mzungu Mark Thomas Bush anasema inazinduliwa Tarehe 1 mwaka 2020. Itakuwa hata ikitaka kuvutwa gari lingine itavutwa kwa wireless, yaani bluetooth au any wireless app.
Kwa hiyo hii gari...
Wadau naomba kuuliza kuna Trekta aina ya Telefunken-X-Germany, limeshatumiwa na mkulima Kaburu kama miaka 8 hivi, nimeipenda utendaji wake, niko hapa South-Pretoria ni nzuri sana. Ngoma inakuja...
Wakuu gari yangu GX100 Cresta imefutika mileage kwenye odometer. Leo ndio nimeshtukia mpaka sasa hivi ina 256,000km. Kuna mwenye uzoefu na tatizo hili?
Mrejesho:Nimewasha gari Leo asubuhi,readings...
Kuna jamaa yangu anaitafuta hii pikipiki anataka kuinunua aina kama hii ila anataka iwe mpya.
Anayejua wakala wake hapa Tanzania tusaidiane anuani.
Brand name ya pikipiki hiyo ni SELFIR.
Hata...
Heshima mbele wakuu,
Nataka kununua used Freelander, lakini watu wengi niliowauliza wanasema eti ni gari mbovu. sina utaalamu wa magari hivyo naomba ushauri kwa mtu yoyote anayeijua vizuri...
Wadau gari langu ni rav4 Toleo la uingereza, yaani injini ni 3s G.E twin cam, sasa nataka nibadilishe niweke injini ya kijapan lakin ni rav4 iyo iyo, naombeni ushauri wa kitaalamu
Salam wana Jukwaa.
Rejea kichwa cha habari. Gari ni chombo cha usafiri kinachomwezesha mwanadam kutoka sehem moja kwenda nyingine kwa haraka. Chombo hiki kikitumiwa ndivyo sivyo kinaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.