JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nimesoma mahali kuwa TOYOTA ndio kampuni kubwa duniani na tajiri. Nimeona gari ya kwanza ya TOYOTA model AA Sedan ilitengenezwa 1936. Nimejaribu kukumbuka aina za magari ya TOYOTA nashindwa kujua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hizi ndo mashine ambazo huwa nazungumzia. Nadhani ndiyo maana nafikia hatua nawaza hivi kweli nitaweza endesha gari ya Mjapani? Ikiwa Ulaya na Marekani wanaendelea kuzalisha Magari mazito ya...
19 Reactions
68 Replies
8K Views
Wadau naomba mwenye uelewa wa aina hii ya magari aniambia ubora na udhaifu wake kwa matumizi ya Tanzania katika spear, service na ulaji wa mafuta. Ni aina gani ya magari yaweza kuwa mbadala wake...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nataka kununua Ist au Carina Ti naomba muongozo 1.fuel efficiency 2.Uimara wa gari kwenye njia za vumbi na rough road Suspenssion
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakubwa salama humu? Naomba kujuzwa kuhusu gari ya Allion. Zipo ambazo ni 4WD. Nilitaka kukua hiyo 4WD ni full time au part time. Watalaam saidieni hapo. Asante
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujua ni gari ipi nzuri kwa road trip na hata uimara kati ya hizi: Toyoya IST, Vitz na Belta. Ushauri nitakaoupata hapa ni kwa niaba ya rafiki...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Husika na lengo tajwa, nataka kununua gari ndogo na mapendekezo yangu binafsi ni kama ifuatavyo 1.Funcargo 2.Porte 3. Vitz 4. Sienta 5. Ist Je?, kwa wenye uzoefu juu ya gari tajwa apo juu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau. 1. Naomba kufahamu kuhusu wastani wa ulaji mafuta (Fuel consumption) wa Toyota Harrier zinazoanzia mwaka 2001 za 2.4l (2az engine). Naomba uniambie ulaji wa ile ambayo ina 2W na ile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salama wadau? Haya jibu linahitajika hapa chini Washindi 5 wa mwanzo kupatiwa zawadi na Kimomwe Motors (T) Ltd 0746267740
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari wa Tanzania wenzangu, naomba kujuzwa; utaratibu unaotumika na aina ya documents za makabidhiano wakat wa ununuzi wa gari. All the procedure I mean, gari lililotumika toka mmilik A to B...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Waungwana naomba msaada mnifahamishe ulaji mafuta wa Nissan Safari, Automatic gear, TD 4.2. Kuna ndg kaniambia ni lita 18/ 100 km. Na mtu mwingine kasema wastani ni 5 - 6.2 lt/ 100 km ikitegemea...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Poleni na kazi. Mwenye kujua bei ya matrekta ya kichina Howo ya mizigo yanauzwaje yaani ile Horse ikiwa mpya. Kama mtu aweza kufanya comparison na bei za scania horse si mbaya. Nahitaji kujua...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Hii mashine ni ya ukweli sana both kwenye off roads na tarmac ni bahati mbaya tu kwamba watanzania wengi tunanunua magari kwa kuigana bila kufanya utafiti wa ubora... Mashine hii kwa utafiti wangu...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
Habari wadau wa kilimo, naomba mnifahamishe ubora, reliability wa mini tractor za mitsubish vst shakti za arusha zipoje field? Mana mimi nna mashamba yangu madogo tu sihitaji tractor kubwa ili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu... Picha nilizotupia zinajieleza.. Ukitafakari adha ya usafiri wa jumla mfano mwendo kasi, basi huna budi kuheshimu chombo cha usafiri ambacho mwenyenzi Mungu amekujalia kuwa nacho...
11 Reactions
68 Replies
9K Views
Habari wadau Naomb kuuliza hii gari inafaa kwa matumizi ya binaadamu wa kiume?
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Salam wana jukwaa. Kwa maoni yetu zifuatazo ni sababu za kwa nini walinda amani wetu hupendelea zaidi gari za aina flani kuliko aina nyingine kwa gari zote za biashara na binafsi. 1. Toyota...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Baadhi ya magari siku hizi, hususan yenye automatic transmission, yana hii teknolojia inayoitwa automatic start/stop technology. Kwa ufupi iko hivi; Gari inakuwa na smart key. Hii smart key ndo...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau salaam! Naomba ushauri kati ya gari mbili hizo tajwa hapo juu ipi ni nzuri in terms of: 1.Utumiaji mafuta 2. Speed 3. Kudumu/Uimara 4. Spea/Service 5. Comfortability 6. Kutulia barabarani...
0 Reactions
112 Replies
22K Views
Back
Top Bottom