Unakuta mtu anaishi Arusha au anaishi Dodoma then anataka atoke alipo aende mkoa tofauti
Labda tuseme unataka kwenda kigoma,swali langu ni:
Unajuaje njia ya kupita hadi kufika kigoma? au ndio...
Habari wakuu, natumai nyote wazima.
Kwa wanaotaka magar kutoka nje, nakununulia Gari aina yoyote na kukusafirishia mpaka dar kwa $690 kutoka UAE.
N.B, hiyo $690 ni ya usafiri tu means shipping...
Wadau habari,
Naulizia gharama za kuitoa hii gari bandari ya dar es salaam.
Bei iliyopo sokoni Japan ni
$ 10,659
Nauliza mpaka itoke Bandarini itatumia shilingi ngapi?
Type: Nisan condor...
SIku hizi ni rahisi sana kununua gari, pia ni rahisi kujua kuendesha, lakini ni ngumu kujua nini kinafanya gari yako ifanye kazi. Usijali, tuko hapa kuendelea kufahamisha mambo mbali mbali ambapo...
Wakuu habari za jioni?
Mimi nina rava 4 kili time rangi ya silver number DLN 1zz ingene cc 1794 mpya kabisa nataka kubadilishana na mwenye harrier new model(second generation)kunzia mwaka2003 hadi...
Naomba kusaidiwa gari yangu inakosa nguvu mlimani na inamisi kwa mbali nashindwa nifanyaje mana nimepeleka kwa mafundi lakini tatizo bado lipo aina ya gari NISSAN NOTE
Teknolojia ni matumizi ya sayansi katika sekta za uzalishaji na sekta nyingine kama vile mawasiliano, hasa hasa kwa madhumuni ya kibiashara. Pia, tunaweza kusema kuwa, teknolojia zinahusisha njia...
Habari zenu humu ndani? Niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Nimefikia uamuzi wa kununua gari iliyotumika hapa Bongo. Gari ninayoitaka ni yenye sifa zifuatazo:
Aina ya gari: Toyota harrier...
Aman itawale kwenu wakuu
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nimekuja kwenu kuomba ushaul wenu maana nyie wana jf ndo wanangu wa kufa na kuzikana
Nyie ndo ndugu zangu wa damu...
Baada ya kuhakikisha gari lako lipo makini hasa upande wa kiufundi kwa maana ya safari salama,kuna haja ya kuliweka gari yako kuliweka katika hali ya kimtazamo wa kipekee! Yaani lisionekane kama...
Kuna ist bado mpya toka ianze kutumika Tanzania, tatizo lake ni unapopita kwenye maeneo ya roughroad hasa ikiwa barabara ina yale mashine ya kutumbukia na kuinuka unasikia milio fulan nyuma kama...
Wakuu poleni na majukumu..
Nimeagiza gari (Subaru Impreza) na itaingia mwezi wa 11 mwanzoni, hapa majuzi nimepata dharula hivyo hela ya kutolea imepungua.
Nategemea kuweka mambo sawa miezi miwili...
Wandugu nna hili tatizo kwenye gari yangu, tangia naigize toka Japan ilikuja ikiwa na hiyo alama. Sasa sijui ni nn na mara zote nimeivumilia ila leo nikaona niwaulizeni wajuvi wa mambo isije ikawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.