Habari wakuu,
Nimejikusanya muda sasa kuweza kumiliki gari la ndoto zangu. Tatizo ni budget yangu kwani nimefuatilia kuhusu my dream car naona mfuko haujajaa linapokuja suala la TRA.
Je, waweza...
Wakuu, naomba mlolongo wa kufuatilia mpaka kupata leseni kwa mtu ambaye amemaliza chuo na amepata cheti. Sifahamu chochote kuhusu hilo hivyo kwa yeyote anayefahamu naomba anieleweshe kistaarabu...
Kuna alama iliyojitokeza karibuni kwenye dashboard.
Nilimpa dreva gari ampeleke mtoto shule Geita lakini aliporudi ndo niligundua alama hizo yakwanza (ABS) yapili ([emoji3504][emoji3505] )kama...
habar wadau , habari za sikunyingii
hatimae JF yetu imerudiii [emoji28][emoji28][emoji28]
twende kwenye mada wakuu.
binafsi nimekua nina interest kubwa ya kumiliki trector walau 2 tu while...
Mama yangu ni mwalimu na anastaafu mwaka huu, na alikuwa anafikiria kununua gari. Kati ya haya lipi unaona linamfaa kwa budget isiyozidi 18M?. Mimi nilikuwa nafikiria haya, unaweza kuongeza...
Habari za weekend wakuu.
Natafuta fundio mzuri wa kutengeneza Nissan Patrol ST kama iliyopo hapa chini, ni Auto 3000 cc, Diesel. Kwa anayemefahamu tafadhali DM.
Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi...
Salam wana jukwaa.
Sasa tunakuletea mijadala ya kushirikishana na kuelimishana na ndugu zetu watanzania masuala mbali mbali yahusuyo tasnia yetu ya uagizaji wa magari kutoka nje ya nchi badala...
Mambo vp wazeiya wa JF?!
Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi fulani mashindano ya magari kwny TV hasa Azam TV, karibu ya asilimia 98 ya magari yanayotumika ni Subaru tena Subaru yenyewe Impreza na...
Salaam,
Nina shida ya kuweka navigation system ya Tanzania kwenye gari iliyokuwa na navigation system ya Ulaya.
Kama kuna mtaalamu humu ama mtu anayemfahamu mtaalamu, anisaidie.
Wasalaam,
Wakuu kumekuwa na mtimdo sasa hivi wa kupimp gari na kufunga taaa taa nyingi sana za urembo kwenye gari..ikiwa pamoja na kutoa taa kubwa original za kuja na gari na kufunga zingine ili gari iwe na...
Wakuu habari za kazi,
Jamaa yangu gari linamsubua baada ya kusafisha / kuosha Injini ya gari. Tatizo ni indicators zinasumbua, mara ziwake mara zisiwake.
Naomba kama kuna fundi mweledi aliyeko...
Kwa kweli watu wanaonunua brand new cars (wengi tunaziita 0 km) wanafaidi saana. Yaani unakuta gari ni safi, kila kitu kiko on point, miguu imekaa vizuri, seat ni safi, rangi imetulia hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.