Habari wapendwa,,nakumbuka niliwahi kuona uzi humu jamaa alipost juu ya kuuza spear za magar ambapo watu walikuwa wakimuuliza maswali na anawajibu vizur kwa kuwatajia bei ya spear wanazozitaka...
Wakuu, heshima kwenu,
Nafahamu kuwa technolojia inabadilika na kuboreshwa kila leo. Kuhusu Security Systems za magari, ni ipi ambayo ni current and the best?Ahsanteni.
Waagizaji wa magari wa kitanzania kwa jina Kimomwe Motors, wanapenda kuwakaribisha wastaafu wote kuja kuagiza gari zao kwa gharam nafuu zaidi kwani watapewa punguzo maalumu ili kuwawezesha...
Pikipiki katika kuwasha unaweza ukatumia njia ya Kick Starter, Electric Starter na kusukuma.
Swali langu lipo katika njia ya kusukuma ambapo mtu anayewasha anaweza akakaa katika pikipiki wakati...
Miezi mitano iliyopita nimenunua gari aina ya Corolla 111 kutoka mikononi kwa mtu,mwezi uliopita ilipata tatizo la kuchemsha na kuchanganya oil na maji baada ya kukikimbia umbali mrefu kutoka Dar...
Msaada wakuu, naomba kuelekezwa yard ambayo nitapata huduma kwa uaminifu, gari ninayohitaji isitoke nje ya spacio new model, runx, carina au raum. Sio wale jamaa ambao wanauza zinashatembea bongo...
Wakuu habari,tafadhali naomba ushauri wa mahali naweza kupata turbo ya Landrover 200TDI.
Pia ningependa kujua na bei zake.
Akhsanteni sana na Mungu awabariki.
Heshima mbele wadau
Nina gari dogo aina ya toyota corolla kama inavyoonekana kwenye hii picha
Hivi karibu imekua na tatizo la kuwaka kwani betri yake imeisha. Sijawahi kubadili betri tangu...
1jz GTE ni injini yenye nguvu sana ya Toyota ya kwenye gari ndogo hasa utaikuta kwenye Toyota Aristo na hasa ukitaka kuipatia zaidi ifungwe kwenye Toyota Artezza na ukute yenye twin turbo ni...
Habari wana jukwaa.
Gari yangu RunX 2002 yenye engine 1NZ-FE VVTi nahisi kama imepungua performance kidogo ingawa sio easy ku-notice. Mimi na-notice kwakua nimekua nikilitumia kwa muda si naona...
Kwa wwny uelewa na uzoefu wa toyota allex na runx, nini tofaut ya hizi gari, na kama kununua ipi the best, maana hapa nilitaka kuagiza runx 2WD white. Kupitia SBT,
Naombeni advice ya kitalamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.