Dabo indiketa inashauriwa itumike wakati una dharula kubwa mf: Ajari au gari Mbovu maana lengo lake ni kuwataarifu madereva wenzako kuwa gari yako inatatizo so wapite kwa uangalifu zaidi lakin...
Habari wakubwa,,mm n mmiliki mgen wa gar naomba kujua ni kampuni ipi nzur kwa gear na engine ambapo gari ni automatic
Aina ya gar ni toyota premio, wapo walioniambia inahitajika type iv,naipata...
Habari za muda wadau,nafikiria kununua Nissan x trail kutoka kwa jamaa yangu ambayo alichukua hapa hapa Tanzania kwenye show room Nissan Enzi ndo zina ingia.
Nataka kujua zinakua na matatizo gani...
Wadau , gari langu Toyota crown limezimika ghafla tu baada ya kubadilisha muziki wa gari ,nikiliwasha aliwaki nimeambiwa ni mifumo ya umeme hususani CONTROL BOX na MOBILE ya gari ,
ivyo natafuta...
Habari wakuu, nahitaji kufanya engine overhaul kama nilivyoshauriwa na mmoja wa mafundi,hii inatokana na kuwa gari niliyonunua ilikaa muda mrefu na iligundulika wakati wa service kuwa oil pump...
Habari wana jf,nimejaribu kuzifuatilia haya magari aina ya subaru kuanzia Legacy,Impreza na forester ila kiukweli huu mnyama mwingine subaru outbox ni hatari sana halafu bei yake ni ya kawaida...
Guys kwema?, Aisee nimejiokoteza okoteza kwa miaka kadhaa mwaka huu naona mambo yamekaa sawa kimtindo, Sasa Nataka kausafiri ka kuendea kwenye mishemishe. Nahitaji Ushauri kati ya IST na SPACIO...
Toyota Harrier, hasa 2nd generation, ni moja kati ya magari maarufu na pendwa saana hapa nchini na duniani kwa ujumla kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo muonekano wake, uimara wake, level of...
Habari zenu nina Toyota Altezza Kali sana Lakini nataka niuze ninunue Toyota Brevis.
Ushauri wenu please nifanye hivyo au Altezza inakuwa nzuri kuzidi Brevis?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nimelipia gari last week, ila bado imeandikwa under offer.
Sasa kuna mambo yametokea yaliyo nje ya uwezo wangu, na hata gari ikija sitaweza kuitoa.
Kwa wenye uzoefu, je naweza cancel order...
Mafuta ni kimiminika muhimu kuliko vitu vyote katika gari. Ili gari liweze kufanya shughuli zake zilizokusudiwa ni lazima liwe na mafuta. Uwepo wa mafuta hulifanya gari kutekeleza majukumu yake...
Wakuu poleni na pilika za kutafuta tonge la kila siku
Wiki mbili zijazo natarajia kusafiri mimi na familia yangu kwa kutumia usafiri binafsi
safari ni kutoka mbeya kuja Dar
Lengo la kufungua...
Nina gari Toyota premio new model huwa linamisi Sana nikiliwasha mda wa asubuhi mpaka linazima kabisa na mda mwingine hata likikaa mda mrefu kuanzia asubuhi mpaka jioni nimezunguka kwa mafundi...
Me ni mdau wa mziki mzuri wa kwenye gari,wenye sterio ila sihitaji booster, au subwofer. Je kwa gari aina ya premio je naweza kupata wapi speaker za pembeni kwenye milango zenye watts kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.