Nina Toyota SIENTA ya 2004. Wakati nainunua miaka 7 iliyopita ilikuwa inatumia Lita moja ya petroli Kwa. Kilomita 9/10. Ghafla tangu mwezi mmoja na nusu uliopita, ulaji wa mafuta umeongezeka hadi...
Naomba Msaada gari langu Aina ya Toyota Townace new model, nikisha park na kuzima gali pia kuzima taa zote na kuchomoa funguo, baada ya nusu saa gari linajiwasha taa kubwa. je tatizo ni nini.
Miaka kadhaa iliyopita ilitangazwa Landrover Defender zisingetengenewa tena. Watu walisikitika hata kuna kampuni zilitaka zinunue hatimiliki ya kutengeneza hizi Land Rover ili ziendelee...
Habari,
Kuna jamaa yangu ana Nissan Xtrail new model t31 inampasua kichwa. Vitu vingine vyote viko poa ila kuna mlio wa kugonga unatokea nyuma akipita kwenye rough road ambao yani inakita kwa...
Captain/Master
Huyu ni baharia au mfanyakazi wa meli mwenye leseni kubwa ya uendeshaji wa meli. Ndiye msemaji na kiongozi mkuu mwenye kutoa amri katika meli.
Pia ni anamuwakilisha mmiliki wa meli...
Kuna gari imepaki nyumbani muda mrefu hivi kama miezi miwili bila kuguswa likiwa na mafuta kidogo sana.
Leo nikasema ngoja nijaribu kuliwasha nikapige nalo misele. Nikazungusha funguo mpaka pale...
Wadau,
Nahitaji software au SD card yenye software ya kuweza ku unlock hii redio ya gari ya Panasonic Strada CN-S300D, kama ionekanavyo katika picha niliyoambatanisha.
Naomba kujuzwa jinsi...
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki.....
Tunamshukuru Mungutunaishi.
sasa ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua nimejichanga nimeona nipate usafiri hapa nina...
Wadau ninamiliki toyota rav4 j , tatizo ambalo limejitokeza baada ya kubadilisha cylinder head gasket, con belling, spark plug cable, yaani ukiwasha inawaka na ukiweka gia, ninamaana driving...
Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha
Habari wakuu!!!
Mwenye kujua mazuri na mabaya juu ya hii gari hasa ya mwaka 2006 au 2007 aweke hapa tafadhali, baada ya kutumia gari ya chini ya kwa mda mrefu nataka kuhamia sasa kwenye gari ya...
Wakuu Kwema?
Hope mnaendelea Poa Na Majukumu Ya Kila Siku. Nataka Kununua Gari, but nataka Kujua Kati ya haya magari ipi Iko vizuri katika ulaji wa mafuta, Durability ukizingatia barabara zetu za...
Guys Naitaji kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda, sitakua naendesha Mimi nitamkabidhi MTU kwa ajili hiyo, je ni pikipiki IPI nzuri, imara? Affordable cost (Mimi sio mzoefu sana )
Habari ya weekend wakuu,
Ni takribani miaka miwili nilimuazima ndugu yangu gari. Tunakaa mikoa miwili tofauti. Sasa tangu nimeanza kumuomba gari yangu, inaonyesha ni dhahiri moyo wako umekengeuka...
Wanajamvi habari ya jioni kwenu!?
Samahani wanajamvi, binafsi nina garage kubwa tu na tunadeal na kutengeneza magari aina zote sasa nahitaji kujisajili na Toyota katika garage yangu ni vigezo...
Heshima kwa kila mmoja wenu,
Wajuzi wa magari, naomba wenye uelewa zaidi ya hili gari dogo la Mitsubish Galant Fortis...Zipo za mwaka 2008, 2009, 2010 na kuendelea.
Nyingi zinakuja na injini ya cc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.