Wadau, salamu kwenu.
Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye:
1. Uimara
2...
Nahitaji kununua xtrail 2003 yenye engine ya SR20VET,
Nanunua modeli yenye engine ya SR20 kwa sababu engine hiyo inasifika kwa uimara duniani kote na ni nyepesi kwa mafundi kuirekebisha endapo...
Nawaomba msada wenu wadau.
Nahaitaji gari ya familia ya watoto wanne na mke, kati ya Spacio new model au Wish new model, au nyingine yenye muelekeo huo ila isiwe ya kufunguka kama Noah, mfano...
Wakuu,
Tujuzane hapa kwa nini pikipiki au baiskeli zina uwezo mkubwa wa kutembea kwa matairi mawili tu tena wakati huo inakua imebeba watu wa 2 mpaka wa 3 na haianguki. Kuna physics au...
Hbr zenu humu ndani.
Naam swali langu hivi tunaweza kutambua gari ya V6 bila kuangalia huko kwenye engine
Mfano ukiwa online unaagiza harrier unayaona mengine ni 2360Cc, 3000Cc, 3600Cc...
Habari wakuu
Nataka kununua gari used,
1. Escudo ya 1999 cc.1950
2. Au gari yeyote yenye injini ndogo
ISIYO TUMIA MAFUTA MENGI NA SERVICE ZAKE ZA KAWAIDA
naomba utaratibu na vitu vya kuzingantia...
Dhumuni la hii mada ni baadhi ya upotoshaji au chumvi zinazowekwa na wanazi wa haya mabus kila mtu akivutia upande wake!
Ni ukweli usiopingika kwa ishu ya durability scania yupo vizur zaidi
Ila...
Habari wanabodi
Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea...
Je unafahamu kazi ya Neutral gear kwenye gari?
Wataalamu wa mambo wanasema kazi ya neutral gear ni kusaidia kusimamisha gari wakati wa emmergence hasa pale accelerator inapostuck ukiwa kwenye...
Wakuu polen na majukumu!!
Naomba ushauri wenu ... nichukue gari gani kati ya gari tajwa hapo juu... {subaru forester, Bmw 3 series au x3...
ushauri huo naomba ulenge kwenye
>>> ulaji wa mafuta...
Husika na kichwa hapo juu.
Hii gari used kutoka japani hadi naingia nayo barabarani inaweza gharimu shingapi?
Hasa ikiwa 4wd
Kuanzia mwaka 2007 na kuendelea.
Nataka niandae mpunga kabisa.
Roboat ni mradi wa utafiti uliofanywa ndani ya miaka 5 ili kutengeneza chombo kitachojiendesha chenyewe.
Huko nchini Uholanzi na Chuo cha Amsterdam Institute for Advanced Metropolitan Solutions...
Ni aina ya gari ndogo iliyotokea kupendwa sana kutoka kampuni ya Toyota kulingana uimara wake na fuel consumption nzuri....pia inaoneoneka ni gari iliyohongwa kwa kiwango cha juu. .wadada...
Habari zenu jamaa.. Naomba kujua zaid kuhusu tofauti ya gari hizi.. Honda HR-v.., na CR-v ikiwa ni pamoja na upatikanaji wake wa spare parts.. Uwezo wa kuhimili mikiki kwa kila moja..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.