Mara kadhaa tumekuwa tukianzisha mada mbalimbali zenye lengo la kutoa elimu, dhumuni likiwa ni kupeana uelewa zaidi na kukumbushana mambo mbalimbali kuhusu uagizaji wa magari.
Leo tungependa...
Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi...
Mara kadhaa tumekua tukianzisha mada mbali mbali zenye lengo la kutoa elim dhumuni likiwa ni kupeana uelewa zaidi na kukumbushana mambo mbali mbali kuhusu uagizaji wa magari
Leo tungependa...
Wakuu habari ya muda huu! Naomba msaada wa kujuzwa Engine gani ni nzuri kwenye hizi Gari Townace au Liteace truck maana nimeona kuna engine nyingi sana kama 2Y,3Y,2C,4K,5K na 7K carburated na 7K...
Habari za mchana wanajamvi.
Gari yangu ni automatic na lina tatizo ambalo bado sijalielewa, kila ninayemuuliza ananipa majibu yake.
Tatizo lenyewe ni hili: Ukiingiza gia (D) au ( R) inatoa...
Ndugu! poleni na maangaiko
Nafikiria kununua gari, Toyota Nadia, ebu naombeni ushauri juu ya aina hii ya gari. Binafsi nalipenda kwa sababu ya gharama yake kuwa ndogo maksio ya milioni 7,ikiwa...
#REPOST Goefrey madafa
RAV 4 MAANA YAKE NINI?
Walitumia maneno haya kiingereza
RAV4" --Recreational Active Vehicle with 4-wheel-drive, Ukichukua herufi hivo za mwanzo utapata RAV 4.
Generation...
Habari za majukumu wanajukwaa.
Kuna hizi gari ambazo zinakuwa na freezer/jokofu kwa nyuma zinaitwa Freezer Truck/van , nimeangalia katika mitandao ya wauzaji wa magari na kukuta aina nyingi za...
Nawasalimu wakuu,
Nimefanikiwa kujichanga na kupata kakiasi fulani, bado niko na sintofahamu ya gari ipi niichukue kati ya hizo mbili.
NB:Nahitaji ushauri wa nichukue gari kati ya hizo na sio...
Wadau naombeni ushauri wa kubadilisha engine, Naomba watoa ushauri wawe wanazijua vizuri engine siyo wagaga gigi koko.
Gari ina Engine ya 1JZ GE kavu
Nafikiria kuitoa na kuweka 1JZ GE yenye vvti...
Gari yangu ina cc 1300 na kwa maelezo ya kwenye manual yake inasema kuwa Engine oil inayotakiwa kununuliwa ni 5W-30
Yeye ananambia kuwa kwa kuwa gari yangu engine yake imeshatembea zaidi ya kms...
Salaam!
Nina gari aina ya Toyota Vitz 2NZ-FE(1.3L) 4WD ya mwaka 2000 ambayo nilinunua Show Room hivo sikujua kabisa kama ni 4WD mpaka nilipo google chasis number nkaona hilo gari huko beforward na...
Hivi ni kweli gari hata kama ni mpya, ukimwagia chumvi kwenye engine eti engine inakufa (kuzima), yaani haliwaki tena? Je, kuna ukweli wowote, na kuna mahusiano gani hapo?
Naomba kujuzwa.
Hello Wana GT. Naombeni msaada wenu Kwa mtu anayeishi South Africa. Nilikuwa nahitaji horse ya scania 6× 4 kutoka South Africa, kama Kuna mwana GT anayejua wapi naweza kupatana hii Horse ,MSAADA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.