JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wakuu, Kuna kitu ningependa tupeane elimu kwa kiasi chake. Pale nitakapokosea msisite kunielekeza maana mimi pia najifunza hapa kwa wanajamvi na ma injinia mliotukuka humu JF...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, Nilikua naomba ushauri kuhusu model gani nzuri ya scania mende kwa matumizi ya kazi za ujenzi kama kubeba kifusi, kokoto na mchanga.. nimekua nikitumia scania 114 - 340 kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina gari Toyota L/C Prado -Engine 1KZ: CC - 4166: Matumizi ya diésel yalikuwa Lita 1 kwa 9 kms, kwa sasa hivi linatumia Lita 1 = 6 kms, naomba ushauri wa kitaalam wa tatizo hili.
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Anayejua fundi wa redio ya gari ya Android, ni mpya kabisa fundi alipokuwa anarekebisha umeme nadhani alipigisha shoti. Redio inatoa sauti ila kioo kinablink white light tu.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Gari langu ni Vitz Natafuta mpira kama huu, nitashukuru nikiupata maana ya kwangu imekatika inavuja maji kwenye picha niliyo onyesha kwa karibu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, jamani wataalam naomba msaada, kigari changu aina ya Toyota Verrosa 1. Waya wa ABS mkono wa kulia umekatika 2. Waya wa kufungulia buti umekatika (nikipata complete na wa tank la mafuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ELIMU KUHUSU GARI YAKO Ikiwa battery imekufa ghafla na gari yako ni automatic na huwezi kupata msaada wa haraka, inyanyue tyre moja ya mbele kwa kutumia jeki, weka gear kwenye D, funga kamba...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari. Napenda kushare uzoefu hapa kidogo nina gari ndogo ambayo ni VOLTZ na nimekuwa nayo sasa kwa takriban 3 years. Miezi kama 10 iliyopita nilianza kuona gari inakosa nguvu kwa mbali. Baadae...
19 Reactions
67 Replies
8K Views
Tafadhali wajuvi hapa jukwaani naomba mnichagulie gari kati ya haya Spacio new model, Wish Toyota au kama unajua gari nyingine zinazokaribiana na hizo ila zisiwe Sienta au Raum au Toyota Isis na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
-Carina TI -Allex -Au Runic Zote ziwe kuanzia namba B na hali nzuri Uwezo wangu ni 4.5 millions, mwenye nayo ani Pm tuyajenge
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari zenu. Kama kichwa cha habari kisemavyo, wale wajuzi wa magari pia wale wenye uzoefu na hizi gari DAEWOO NUBIRIA naombeni ushauri wenu wa jinsi hii gari ilivyo. - Ubora - Upatikanaji wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu msaada tafadhali, Juzi nilikuwa nafanya service ya gari yangu. Baada ya kumwaga oili fundi akasema ngoja asafishe plag. Ile amerudishia akaniambia niwashe gari ikae silence kidogo. Baada...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi hizi sticker huwa zinasaidia nini hasa. Na leo nimekutana na IST ina sticker kibao mojawapo imeandikwa OFF ROAD. Nikabaki kucheka. Hivi hizi sticker huwa zinawasaidia nini hasa jamani.
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Nataka kununua Jenereta ambalo lina uwezo wa kuwashwa pamoja na mashine ya kusaga HP 20 na kukoboa HP 15. Je, Diesel silent generator itatakiwa ya KVA ngapi? Naomba kuwasilisha
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Nimekutana na changamoto hii kwa mara ya kwanza. Coil za engine tajwa hapo juu zimetolewa katika engine kama hiyo tuite Engine A zikawekwa katka engine nyingine kama hiyo tuite Engine B...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu, Nimevutiwa sana na hizi gari za Peugeot, naomba kupata taarifa kadhaa kuhusiana na hizi gari ikiwemo uimara wake na upatikanaji wa vipuri (spare parts) zake kwa hapa Tanzania.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Naomba kufahamishwa kuhusu: 1. Muda wa kulipia clearance na ushuru bandarini tangu gari uliyoagiza nje iripoti. 2. Muda wa na adhabu endapo nitazidisha muda wa kulitoa gari...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu naweza kupata gear box ya Noah kwa shilingi ngapi? Fundi wangu ameniambia natakiwa kufunga gear box nyingine kwenye gari yangu.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaj wakubwa ya X3 mguu wa nyuma Watumiaji wa bmw naomba maelekezo napoweza kupata hi kitu OG pleasee
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom