1. Angalia Mbele: Hapa tunazungumzia madereva waopenda kuendesha gari huku wakiwa wanatumia sim au kugeuka geuka nyuma au maongezi na abiria wako. Mambo hayo na yanayofanana na hayo yanaweza...
Kwa utafiti usio rasmi kwa mtazamo wangu baada ya kupita pita kwenye magroup ya Whatsapp na Kurasa za facebook za wauza magari yaliyotumika hapa Tanzania ni kama yafuatayo:
Toyota Vitz, IST...
Kobe Bryant amekuwa akitumia helikopta ya aina ya Sikorsky S-76B tangu alipokuwa akichezea Los Angeles Lakers. Ndio iliyomuua.
Mamlaka ya kufuatilia shughuli za anga inasema helikopta hiyo...
Juzi ijumaa nilirudi nyumbani mchana kwa lunch na kuona watoto. Baada ya lunch na kuwahudumia kidogo nikarudi kazini.
Baada ya nusu saa dada yao akanipigia kuwa Gerry (my first born) haonekani...
Mambo ya kuzingatia pale unapotaka ununue boti ndogo kwa ajili ya utalii, uvuvi au matumizi binafsi.
1. Material yaliyotumika kutengenezea boti
- Mbao
Mbao imekuwa ikitumika kuunda boti tangu...
Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva...
Habari zenu. Nimenunua mpya showroom Passo ya cc 1000 ila inanishangaza unywaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Average yake katika screen inasoma 6.8 km/L nimeenda Posta na kurudi kama mara 3 hivi...
Naomba kujuzwa ujazo wa tank la Passo. Na inakula km ngapi kwa lita. Maana nimekuwa natumia hii gari mwaka sasa ila inanichanganya. Kuna kipindi napiga hesabu inanipa 12 KM kwa lita ila kuna...
Wadau ningependa kujua mwenye uzoefu wa kweli na utalamu, kati ya toyota allex na runx ipi inafaa kuliko nyingine kwa matumizi ya kawaida tu,mishe za mjini.
Naombeni ushauri,
Nataka kununua Yamaha Crux CC 100 Used kutoka kwa rafiki yangu kwa Sh 1.2 million ila sina uzoefu na ubora wake.
Je mnanishauri vipi juu ya ubora na changamoto zake?
Asante.
Amani iwe kwenu.
Katika uzi huu tutakuwa tunajifunza / kukumbushana alama na michoro ya barabarani za SADC.
Alama na michoro hii ipo takribani 178.
Leo nitaanza na mchoro namba 173 na 174.
Hii...
Mm ni mgeni kidogo wa magari, napenda kununua gari ndogo ya kutembelea hapa town japo nazizimika sana hatchback na hasa zinazotumia mafuta kidogo( uchumi)
Wanajamvi ipi kt ya hizo yenye shape...
Wanajamvi, hii gari naipenda mpaka naumwa. Maana inaitwa Honda Crossroad a.k.a SMALL HAMMER. Naombeni ushauri wakuu kabla sijaingia mkenge. Ndo nataka nimiliki gari kwa mara ya kwanza. So...
Kwa wenye magari na ambao wamepata tatizo la kuvunjika vioo, yaani cracks. Je, umeishawahi kununua zile dawa za kuondoa cracks na je zinafanya kazi vizuri?
Kuna matangazo mengi sana humo facebook...
Msaada, kuna gari inauzwa Zambia na imesajiliwa inapiga kazi. Nikitaka kuileta Tanzania. Naomba kujuzwa utaratibu na gharama ukoje. Aina ya gari ni Rosa.
Wakuu naomba ushauri,
Escudo yangu vitara ya 2003.
Engine 3Y.
Ina miss miss sana.
Na haina NGUVU mlimani wala speed mwisho 40/60.
Nini tatizo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Suzuki Escudo cc 1590 inatumia lita moja kwa km 6. Nimeuliza wadau wakasema walau itumie lita moja kwa km 10.
Pia nimefutalia RPM haivuki 5 na taa ya exhaust imewaka.
Naomba ushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.