Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako...
Habari ndugu zangu,
Mimi kama nilivoeleza hapo juu , nina ndugu yangu anataka kuniagizia gari aina ya IST ya mwaka 2011 kutoka japan , sasa nilikua nahitaji kujua gharama ni kiasi gani kulitoa...
Ijumaa naenda dar kuchukua Gari hii lkn nanunua kwa mtu,ina cc 660,naomba kwa wanao ifahamu mnijuze Kwan natoka Dar to bukoba,je muda gan mzur kwa gari yenye engine ndogo,,nipumzike kila muda gani...
Wiki 1 iliyopita nilitoka na family kutembea na gari yangu ni passo... Nina mtoto wa miaka 4 nikamuweka kwangu ninapoendesha wakati nipo kwenye mwendo kama speed 40 hivi akaja akaishika Gia...
Habari ya majukumu wakuu.
Kama tittle inavyojieleza, naomba kufahamu kuhusu hizi gari.
Lengo hasa ni kunisaidia katika kufanya maamuzi ya kununua hiyo gari. Kipato changu ni cha kawaida...
Waungwana nilitaka kujua kwa wale wanaoagiza magari toka nje ni kampuni ipi inayoagiza coaster zenye engine ya 14B na garama zake za kuagiza mpaka inafika hapa nchini kwetu.
Naitaji kuyajua...
Habari wakuu?
Nlikuwa nafikiria kumchukulia mama angu gar ya kuwa anatembelea hapa mjin, gar ambayo unywaji wake wa mafuta hautomtesa lakin pia yeye kama mama atafanana nayo.
Mimi kama mimi...
Mwingine kaulizia iwapo anaweza kuchukua Brevis au la.
Kwa mtu ambaye hafaham chochote kuhusu gari hii akiniomba ushauri nitamuelekeza yafuatayo na kumpa wazo mbadala la gari ambazo zinaendana na...
Naombeni ushauri kuhusu aina hii ya gari kwa watu ambao washaitumia na wanajua ina madhaifu gani na gari gani nzuri aina nyingine mbadala ya hiyo.
Ziko aina mbili Terios Kid na Terios...
Wataalamu naja kwenu na shida moj, naomba kujua hii taa kwenye dash board ya kigari changu, Toyota Allex inaashiria nini?
Maana taa hii huwa wakati unapo switch on, na unapokuwa unaendesha, Sasa...
Subaru Exiga, Hizi ni gari zilizotolewa kuanzia mwaka 2008.
Ni gari nzuri kwa familia kwakweli, Tangu mwaka juzi nimekuwa nikiangalia Kodi yake kwenye calculator ya TRA, kodi haipungui mil 20...
Huyu ni mtaalam kupiga rangi. Watu kadhaa walinielekeza kwake.gari ambayo inatakiwa kupigwa rangi ni kubwa. Actually ni katika tu kubadilisha rangi iendane na gari nyingine ilizozikuta.
Gari...
Ndugu wana jamvi mimi ni muhitim wa olevel mwaka huu nilitaka nipige comb ya cbg ili badae nije nisome coz ya laboratory technician sasa kuna mtu ameniambia Kwa sasa mwanafunzi aliesomea cbg awez...
Wakuu habari za majukumu,
Naomba msaada nina Suzuki Kei tatizo lake ni unapoendesha haina nguvu kabisa lakini ukirudisha reverse inakubali na ina nguvu vizuri tu.
Je, wakuu hapo tatizo nini...
Habari wakuu kuna mwanangu mmoja baada ya kupigika na ngoko na daladala mjini kaona Sasa ni muda muafaka kuagizia chombo Cha mjapan
Anataka kuchukua hio Gari Mazda demio ya 2002 nadhani...
Jamani nina Noah namba A nzima kinyama nataka niifanye iwe namba D ili nami naanze kuwaoshea na D yangu, je naweza kubandika Chassis namba nyingine ya kadi namba D? Au nifanyeje?
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.