Wakui habari,
Hakuna chanzo kizuri cha habari, taarifa na maarifa utaorodhesha hapa Tz bila ukaicha, JF,
Miaka kadhaa ninakwama kununua gari kutokana na sababu binafsi, nakua na subra,
Mwezi...
Za Weekend Wandugu,
Naombeni msaada, nina Rav 4 Kill Time wanaziita. Last week nataka kutoka nayo nkagundua klach/breki imekua laini Sana, yaan ukikanyaga mguu wafika mpaka chini hata kama...
Naomba kuuliza sehemu katika gari nissan caravan injini namba ka24834689x ambapo control box hukaa,nimeangalia kwenye dash board sijafanikiwa, naomba msaada
Wakuu msaada tutani, ni wapi naweza pata fundi pump mzuri wa pump iliyofungwa katika engine ya 1HZ.?
Pia ni wapi naweza pata kununua pump ya 1HZ.? Na bei elekezi inaendaje.? Na je zinakuwa ni...
Habari waungwana
Naomba msaada kwa mtu aliyewahi kutumia Prado yenye engine 5VZ na 3RZ kwa safari za mbali kama Dar kwenda Mwanza/Kyela/Mpanda
Ipi ni nzuri na kwa nini?
Asante
Hii gari ilikua inatumika private hadi mwaka huu mwanzoni ndio imeingi kwenye biashara ya kukodishwa, ni nzima sana na haina tatizo lolote, inafaa Kwa biashara na kwa binafsi pia, inatumia Diesel...
Wakuu, heshima kwenu.
For the first time, ninahitaji kununua na kumiliki kausafiri.
Niliwaza kuagiza gari kwa kutumia SBT coz naona wana magari mengi ya kuchagua at reasonable prices, na...
Habari wakuu.
Natumia gari aina ya Rav 4 kilitime engine 1790cc vvti.
Baada ya kuiendesha muda mrefu kidogo maji yalikuwa yanavuja na hivyo ilichemka sana bila mimi kujua.
Nimepeleka kwa fundi...
Wakuu habari.
Nina tatizo la fuel consumption iko juu mno. Halafu nikistart inavibrate Sana na hata ninapoendesha vibration inaendelea.
Nimebadilisha plug mara kadhaa lakini haijasaidia.
Ni Nini...
Yani kuna kigari sijui ni Alteza sijui ni subaru ikifika muda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity.
Hivi...
Baharini.
Direct kwenye maada,Ni kwa muda mrefu sana nikimsikia Mh Rais wetu.kueleza Watanzania ni wanyonge na baadhi ya matamko yake yakionyesha dhahili Anamaanisha sisi ni Wanyonge .
Nitoe rai...
Habarini wakuu?
Kitaaluma ni automobile engineer, nimekuja kwenu kutatua shida zinazoikabili jamii hususan katika idara ya usafiri, iwe wa binafsi ama wa uma.
Mimi ni mtaalamu katika nyanja hiyo...
Siku chache zilizopita niliomba msaada baada ya injini ya gari langu kusumbua,nimeamua kununua injini nyingine,msaada kutoka kwenu wadau ni kwamba,ni mambo gani niyazingatie wakati wa kuifunga...
Habari wakuu..,
Samahani kwa usumbufu, najua mtakuwa mmelala saizi. Bila kupoteza muda wacha nieleze shida yangu.
Natafuta bomba za body ya Canter urefu wa futi 8 na upana wa futi 5.8.
Kwa...
Wadau nimetokea kulipenda sana hili hali na sina uzoefu wowote wa magari ninachojua ni cc tu na aina za magari naomba mwenye ufahamu zaidi kuhusu mazda demio anishauri hasa technical issues nisije...
wakuu nmekuwa nkisikia kwa wapenzi wa magari kwamba kati ya subaru impreza wrx sti na mitsubishi evo ni gari za mabio, wapenzi wa rally tumalize ubishi kati ya subaru impreza wrx sti na...
umiliki wa gari ukiwa haujui chochote juu ya gari yako ni tatizo kubwa sana,wengi hawana elimu yoyote juu ya magari ni mwendo wa kuweka gear na kuondoka.
ningependa kutoa nafasi hii kwa yoyote...