JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wakuu! Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9. Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300. Je...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hizi aina za pikipiki kama tujuavyo sio nyingi kama ilivo boxer na tvs ma watu hutumiabsana binafsi... E hapa mjini Dar bei zake zipoje na zapatikana wapi....maana nyinhgi town ni zile zile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu natumai mu wazima. Natafuta fundi mzuri wa Suzuki Escudo, new model hizi wanaita engine kubwa, nitapata wapi? Nahisi nahitaji fundi mbobevu wa hizi gari. Ni kama hii kwenye picha
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu naomba kufahamishwa oil nzuri kwa Toyota rav4 iliyo na D4 engine. Hasa viscosity ya oil sio Brand
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari ndugu zangu, Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu na haya magari (Hino,Isuzu na Mitsubishi Fuso) nahitaji kufanya biashara ya bus la abiria kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine i.e Iringa to...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna kitu nimegundua kwenye gari yangu siku za karibuni nikifunga break gari inahama kabisa barabaran hasa nikiwa kwenye speed 80 je tatizo ni nn? Aina ya gari ni nissan teana 250
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nilikuwa napita zangu mtaani nikasikia watu wanabishana kuhusu gari. Kiukweli upande sina elimu ya magari na ujanja mwingi kujua gari mimi nachojua kuendesha tu. Sasa jamaa wawili walikuwa...
1 Reactions
37 Replies
9K Views
Habari wana jamii nataka kufanya biashara ya daladala katika mji huu wa dar nilikuwa naomba ushauri wenu ipi gari bora kwa kazi hii kati ya NISSAN CIVILIAN na TOYOTA COASTER...asanteni nasubir...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi! Naomba kufahamishwa kuhusu ni nani anayetoa plate number za vyombo vya moto vya usafiri. Kuna watu wanasema ni TRA, na kuna watu wengine wanasema ni other private company...
0 Reactions
9 Replies
13K Views
Kama utafuta gari IST basi karibu tuyajenge. Gari zote zipo katika hali nzuri Namba C 7.8m na namba D 8.5m Mazungumzo yapo!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The ignition switch is a crucial component of the car cabin. You cannot start the engine or turn on the accessories without ignition switch. One should not force the key or any tool inside the...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu Poleni na Majukumu. Je ni service gani muhimu sana na za lazima kwa either Kila siku, au Kila wiki Au kila mwezi....na kama za mwaka zipo.... Yani unaapokuwa na chimbo kama Haoujue, Hero...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Tena very wrong. Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo: 1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Gari yangu aina ya Premio old model inatumia engine 7A nikiwa katika masafa marefu nikifikisha speed zaidi ya 120km/hr mshale wa speed unashuka gafla mpaka zero halafu inawasha Overdrive...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Habari za ijumaa Nina gari aina ya nissan teana sasa kuna taa ya check engine inawaka kwenye dashboard na nilipeleka garage wakasema ni mwage oil and I did but bado ile taa inawaka je shida...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Salama wakubwa,nimepata changamoto kwenye gari yangu,nilipeka kwa fundi kucheki shockup za nyuma make nilikua nasikia mguu mmoja wa nyuma haupo sawa,katika kuitoa kuna bolt inayoshika chini ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina visent kidogo nataka ninunue gar but machaguo yang ni vitz na Starlet but kwa mwenye uzoefu na hizo gar anisaidie ipi ni bora
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Mwenye vitz Rs ya cc 1290 atupe mrejesho wa mafuta km ngapi kwa lita
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanazengo, Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kuagiza gari kwenye hizi website zifuatazo. 1. https://carused.jp 2. Respect motors Ningependa kupata uzoefu wa yeyote aliyewahi. Nahitaji...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Naomba niende kwenye mada moja kwa moja,baada ya msoto wa kutembea kwa miguu kwa miaka mingi bas niksjichanga changa ili ni usafiri na kila nilipoomba ushauri kwa wengi wakaniambia...
2 Reactions
17 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…