JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nimepitia kwenye mtandao na kwenye forum mbali mbali kujuwa uzuri na ubaya wa haya magari mawili nikasema moyoni hivi hawa viongozi wanapo tamka maneno wanadhani watu wapo mashimon au kwenye ujima...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Hizi ni miongoni mwa ajali kubwa za meli za mafuta zilizowahi kutokea duniani na kuleta uchafuzi mkubwa wa mazingira ya bahari na athari kwa viumbe hai na watu waliozunguka maeneo hayo. 1.Torrey...
7 Reactions
19 Replies
4K Views
Naona toyota wametoa model mpya ya Toyota Rush ambayo ki mwonekano ipo between Rav 4 na Daihatsu Terrios. Rush inaoneka kuwa na body ngum ila sijui kuhusu engine na confortabily yake barabarani...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana jf nimekuja apa na tatizo kiaina...kuna gari aina ya fuso 17 ikiwa inarudi gia kutoka namba 3 kurudi mbili inapiga kelele kama ukiwa kwenye motion kubwa inapiga kelele kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kuna wauza mataili humu naomba mnifahamishe makadirio ya bei ya tairi nzuri hasa nalenga goodyear na zinapopatikana kwa dar hasa size 215/70/R16
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo na ist pamoja na hii balloon chaser, 4cylinder, cha ajabu naipenda sana hii balloon, kweli watu walitulia sana kuitengeneza hii gari,kwanza nzito,inatulia barabarani,halafu ni very...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu, Miaka ya hivi karibuni kumeibuka wimbi la kampuni za kitanzania zinazoagiza magari kutoka Japan, UK, Singapore n.k. Tena wana utaratibu wao wa malipo kwa awamu mbili, unalipa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nina gx 100 1g kavu. Brake zipo mbali karibia na kuisha kbsa au za kupamp. Pia nikiwa spidi ya 65 na nhasa ninapobana brake , gari inayumba kama alama ya S ivi.. Niliwah nyuma kupiga alignment. Je...
0 Reactions
14 Replies
36K Views
Habarini wakuu,kama nilivyoandika juu hapo ninayo Ractis ina engine ya 1NZ anatumia wife,sasa imeanza tatizo ambalo naitaji ufumbuzi,ukiendesha kama km 150 hivi kuna muda inapunguza speed then...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
A to z UTARATIBU wA KUNUNUA GARI SHOWROOM UPOJE ?? Yaani tayari nina vijisent vyangu na tayari nishafika showroom...hatua zipo vp mpaka naanza kuitumia hiyo gari bila usumbufu wala malipo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Miaka michache nyuma ilikuwa kila mtu akitaka kununua gari ni toyota Ilifikia mahala mpaka zikawa kama utambulisho Naona sasa watu wamebadirika wananunua magari tofauti Now subaru zipo nyingi...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Ninaomba mwenye uelewa anisaidie. Gari aina ya Nissan Extrail, nikifunga break taa za mbele yaani parking light zinawaka. Pia taa za plate number zinawaka; na dash board inawaka
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mwanadamu huzaliwa, huishi kisha hufa. Sababu za kifo zinaweza kuwa kadha wa kadha mfano ugonjwa, kupigwa au ajali. Linapokuja suala la ajali za barabarani, kuna sura tofauti tofauti kama vile...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Mzuqa Wanajamvi, Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda. Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo...
21 Reactions
240 Replies
67K Views
Nissan patrol toka U.A.E iliyopata umaarufu mitandaoni baada ya kuishinda porsche 918 iliyoizidi bugatti kwenye drag race.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wadau?, Ninaomba uzoefu wa Noah field tourer, uzuri na ubaya wake ikiwa nahitaji kuinunua kwa matumizi binafsi. Ahsanteni sana na nategemea mengi toka kwenu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Nahitaji msaada kwa yoyote anaejua taratibu na gharama za kupokea gari iliyotumwa kutoka nje. Si la kununuliwa, bali mtu alikuwa akitumia. N.b Je, gharama ni zile zile kama za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar wadau Naomba kujua mambo ya kitaalam kuhusu hili gari. lina injin aina ya 3S 1990 cc, 4WD Naskia ni Imara sana na liko vizuri kwenye Rough road PLz kwa mwenye Ujuzi nalo; Naomba kujua gari...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Gari ni Toyota passo betri iko full na dashboard inaonesha kila kitu kiko sawa but nikiwasha haistart kabisa je tatizo linaweza kuwa ni nn msaada please
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Salam wandugu! Naomba kwa wale wenye uzoefua au ujuzi juu ya magari aina ya hiace wanisaidie kwa ushauri. Nataka kuagiza gari toka Japan na niko katika hatua ya kuchagua gari katika mitandao...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom