Habari za Muamko wakuu!!!!
Wakuu mimi sina usafiri binafsi kama walivo watu wengi wa JF. Huwa natumia usafiri wa umma.
Pia kuna kitu huwa nakiona. Asilimia kubwa ya daladala zinazoenda TEMEKE...
Masada wana jamvi ni brand ipi ya battery ya gari kwa sasa ambayo iko imara na itaweza himiri kusukuma woofer 1000 watts bila tatizo?
Nilikuwa natumia acdeldo N40 ila naona ishakuwa kimeo...
10 Things you should never do if you are using a manual car!
May 28, 2016 brandvision 16 Comments Car from Japan, cheap Japanese cars, Clutch, Clutch Pedal, Gear, Japanese cars for sale...
Nipo kwenye process ya kununua pikipiki na huwa napendelea pikipiki yenye umbo kubwa kiasi, kwa Tanzania hizi shineray ndio zinaonekana cheap, kwa mwenye uzoefu na hizi anijuze, fuel consumption...
Kama mada inavyojieleza ni kampuni gani nzuri, waaminifu, timely, kwenye kuagiza gari. Maana siku hizi kuna makampuni mengi, lakini tatizo linakuja wengine ni matapeli, wengine ni majizi, wengine...
Wakuu.. Week iliyopita niliibiwa taa za mbele za gari aina ya Toyota Spacio.
Fundi wangu anashauri tununue/tuweke Taa USED kwa sababu huwa hazipauki,na anasema taa mpya za dukani zinachuja rangi...
Habari Zenu Wakuu, Poleni Na Hongereni kwa Majukumu.
Nina Toyota Alphard ambayo haijamaliza Miezi miwili tangu nimeichukua, Sasa ghafla AC ikawa Hapozi Nikapeleka kwa Wale Jamaa Wanaojaza gesi...
Habari wakuu.
Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn...
JAMIIFORUM,
NAJUA HUMU KUNA WAJUZI WENGI HIVYO NAAMINI NITAPATA MSAADA,GARI YANGU AINA YA TOYOTA CROWN ILIGONGA JIWE NA KUPINDISHA PROPELA,TANGU SIKU HIYO IMEKUWA NA TATIZO LA KU VIBRATE IKIFIKA...
Habari wakuu....
naomba msaada wa hili...
Nataka nianze mazoezi ya kuondoa Gari kwenda Mbele(Forwad) na Kurudi nyuma (Rivas) , papo hapo bila kuzima....SASA NIFANYEJE ILI ISIZIME WAKATI NAFANYA...
Habari wakuu, nna gari aina ya Toyota Ractis model ya 2006, tatizo lake ni kwamba kila nikisimama alafu nikakanyaga mafuta gari inashtuka kwanza alaf ndio itatembea, nimeshaenda kwa mafundi wawili...
Hii pikipiki ni Kawasaki Z1 900 ya mwaka 1972 ya mjapan, bidhaa ya kampuni kubwa tu ya pikipiki kutoka Japan. Najua wengi wetu tunafahamu kuwa kwa vyombo vya usafiri nchi yetu ni mteja mkubwa sana...
Wataalamu naombeni msaada wenu juu ya hii gari leo nimejatibu kuiwasha lakini inaishia tu kutoa cranking sound ila haiwaki.. taa za dashboard zinawaka zote lakini taratibu.. hata taa za nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.