Hivi kati ya hizi baby walker mbili ipi ipo fresh kuliko mwenzake. Kwenye bei naona kama zinakaribiana ila SX4 sijaziona sana hapa bongo.
Ila nimechunguza upya, inaonekana magari mengi ya suzuki...
Heshima kwenu wakuu? Ninawashukuru sana wazoefu wa magari kwa elimu mnayotoa humu jukwaani inayosaidia kutoa tongongo kwa mimi ambaye uelewa wangu kwenye mambo haya siyo mkubwa.
nirudi kwenye...
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema ,Gari yangu aina ya voltz inazima nikiweka kwenye D au R shida inaweza kuwa nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau kuna mtu anataka kuniuzia mitsubishi gdi ya namba b. Nini matatizo makubwa ya haya magari. Na vipi kuhusi spea zake? Ili nijue kama jamaa anataka kunisukumia msala au anauza kwa nia njema ni...
Habari waku..
Naomba ushauri juu ya Rav4 Killtime 2003 yenye engine 1Az ya cc 1990.
Nahitaji ushauri kuhusu ulaji wake wa mafuta, comfortability pamoja na uimara.
Nakaribisha michango yenu...
Heshima zenu wakuu.
Najua humu kuna wadau wa mikebe kwa namna moja ama nyingine yaani wenye mikebe, waazima mikebe, wapanda mikebe na kadhalika. Kiufupi tu JF tupo vizuri kila eneo.
Sasa hebu...
Habari wapendwa .Mwenye kuwa na gari aina ya Starlet Glanza iliyonyooka anitafute WhatsApp 0765806904 tufanye biashara..Nashukuru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu.
Kuna Verossa ninayo hapa ila kuna siku niliingiza mtaroni kule kwenye mguu wa kushoto wa mbele.
Baada ya hapo hilo tyre la mbele la kushoto likawa kama inagusa sehemu hivi nikikata...
Heshima kwenu wakuu,
Napenda kufahamu endapo CIF price ya gari unayotaka kununua inapokuwa kubwa kuliko CIF price ambayo TRA wameiweka kwenye calculator yao
Je, wakati wa kulipa kodi gari...
Wakuu habarini za kazi, baada ya kupata ushauri Mzuri wa gari ya kununua ambapo wadau wangi walinishauri nichukue mnyama Carina Ti sasa ninakuja tena na msaada mwingine wa kupata gari hii ambayo...
Hi,.hope weekend iko njema...
Tangu wiki iliyopita nikiwa road,nikikanyaga brake nahisi umoto kwenye nyayo na joto hupanda kadri ninavyokanyaga brake,.nimeogopa hata sielewi shida ni nini...
MAGARI ni kati ya vitu vinavyoundwa kwa ubunifu mkubwa zaidi duniani; yamekuwa yakiifanya dunia kuwa sehemu rahisi kufikika kwa haraka ingawa hasa kwenye maeneo yenye barabara tu. Magari si kwa...
Mambo vp wakuu?
Kwa mtu wa kawaida anawezaje kutofautisha kati ya gari inayotumia petroli na ile ya dizeli hasa kwa gari hizi ndogo kama haikuandikwa?
Kuna mahali nimesoma kuna mtu kasema kwamba...
wakuu habari zenu nahitaji mwenye kufahamu nitaipataje hiyo kitu ,ninahitaji kuifunga kwenye basi langu la abiria nashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau
Kuna jamaa yangu amevutiwa na page moja ya magari yaliyoko usa na uk huko mtaa wa instagram, hao watu wanauza used cars na tz wana agent.
Ningependa kujua ubora wa used za nchi hizo...
Habari zenu wadau
Kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kuhusu hizi gari zote ni milango 3 na za 2003 ,Benz C class kompressor c180 na C200.
ipi ambayo ni nzuri na inafaa kwa matumizi ya familia...
Wadau, nimeona injini ya 3s ya Toyota rav4 vvti, ningependa kujua kama inaweza kuingiliana na zingine za kawaida kama 3s
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.