ABS inawaka ilitokea tu nlipeleka kwa fundi akarekebishe kwenye miguu kulikuwa kunapiga kelele...kukawa sawa kuchukua gari inawaka Taa ABS. hakunipa maelezo yanayoeleweka. Sitaki tena mrudishia...
Nlipoanza kazi nlikuwa natumia tu kagari kadogo BMW nlinunua mil 34 toka japan. Nikawa nasema anyway ni tu gari twa kimaskini ngoja kwanza angalau niwe na tuvibanda twangu angalau tutatu hivi...
Wadau hii gari nimekuwa nikiielewa sana kuanzia muonekano, space kwa ndani na uwezo wa kubeba watu wengi (7 seats). Naomba mwenye uzoefu au anayeielewa vizuri anidadavulie kuanzia unywaji mafuta...
Habari wa jamii naomba kufahamu madhara ya kuweka mafuta kidogo kidogo kama ya 5000 au 10000 na kutembelea mpk yanaisha alafu naweka tena ya 5000 kwa gari kama Noah voxy nini madhara ya baadae...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza. Hivi inabidi ukamilishe vitu gani haswa kwenye pikipiki yako ili usisumbuliwe sana na traffic barabarani?
Ikiwa ni binafsi tu sio ya biashara.
Aksanteni.!
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo Bus. Katika barua hiyo aambatanishe vifuatavyo
1.TIKETI YA SAFARI.
2.CHETI CHA MATIBABU YA HOSPITALI.
3. FOMU YA...
Wadau habari,
Jana nimekatiza sehemu kuna dimbwi la maji mengi sana kutokana na haya ma mvua yanayoendelea,nikapambana nami nikapita baada ya kuona wenzangu nao wamepita
Sasa baada ya kupita...
Wadau vipi
Mimi nina vits ilikuwa na nguvu sana but hivi majuzi imeanza tabia ya ajabu kuna muda kutoka gear namba 2 kwenda tatu inachelewa
Namba 2 kuna muda usiku unakuta uko speed tu inasoma...
Heshima kwenu.
Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel. Yaani diesel inaingia kwenye oil.
Gari ni aina ya FUSO. Naomba msaada wa maarifa
Nadhani ingekuwa vyema tukiwa na directory inayoonesha garage ambazo members wanatumia na ikiwezekana weka namba ya simu ya fundi ambaye unamuona ni reliable.
Hii itawasaidia wengine wanaohitaji...
Ndg zangu mafundi naomba msada kuhusu hii gia box, ninapoondoka gia moja, ya pili inapotaka kubadilisha kuingia tatu inajifunga breki, na ikishafanikiwa kuingia inaishia gia tatu, na wakati...
Wakuu Habari zenu, naomba ushauri kidogo juu ya hii gari, sina uzoefu nayo sana, Mama watoto ni mjamzito kwa hyo Nakusudia kumchukulia usafiri Nikaona Porte inaweza kumfaa..
Je gari hizi udhaifu...
Jamani naomba kufahamu mambo haya kuhusu gari tajwa hapo juu
Gari ina cc 1998/2000, na ni 4wD / 2wD
Left hand diesel
Auto TM
Swali , je nitatumia 1L kwa kilometre ngapi?
Na vipi kubusu ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.