Habari zenu wakuu samahani kwa kuwasumbua mimi mgeni katika ulimwengu wa magari ila mwezi wa 5 nataka kununua gari baada ya kuchanga milioni kadhaa kwa ajili hiyo...naomba kufahamishwa hiyo gari...
Habari za mda huu wakuu, nina gari yangu mazda demio old model. Imepatwa na tatzo la gear box, gari ilikua inapiga kelele kama vile gia zinaingiliana.
fundi wa kwanza alinambia bearing zimeisha...
Kichwa cha habari chajieleza...nimepata majanga na subaru legacy...sasa rim 1 imepasuka vibaya sana na mafundi wakanishauri ni heri nitafute rim nyngne tu...wap naweza nikapata rim hyo kwa hapo...
habari Jf
Nataka kufunga sport rim kwenye Nissan Note, naweza kubadili tyre na rim kwa pamoja sio issue sana kwangu, mwenye kujua naomba anijuze Bei (huwa sielewi mtu akisema mf laki 8 zinakua...
Alteza gita ,engine 2jz-gte.twin turbo vvti.Anavutiwa nayo,lkn kabla ya kufanya uamuzi kumiliki ushauri wa wadau ni muhimu kwake.
Ulaji mafuta upoje.
Upatikanaji wa spea.
Matatizo ya ujumla ya...
Wakuu,natafuta kamba za spark plug ili niweze kufunga kwenye gari langu ambalo ni Rav4J old model,injini yake 3s Ge twin cam
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini...
Habar wakuu,
Nataka ninunue gari aina ya Toyota Noah, kutokana na familia yangu naona Noah itanifaa SNA kwa matumizi ya nyumbani.
Ila pia nilikua navipenda vile vigali vidogo Toyota Ist ila...
Habar Wadau
Naomba kupata Elimu juu ya Gar yenye 4WD ambayo itakuwa ina cc chini ya 2000.
Vilevile ipo juu ili niweze kupita barabara za Rough road na hizi za Lami..
Angalizo: Iwe ni Kutoka...
NATAFUTA DIAGNOSIS SOFTWARE/APPLICATION YA MAGARI YA KUTUMIA LAPTOP
Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna
Kuitambua software inayofaa kwa mazingira yetu na aina ya...
Habari wana jf,
Nina gari aina ya Toyota Mark II Grande (gx 110), nimeitumia kwa zaidi ya miaka minne sasa na hali yake sio mbaya sana japo inahitaji marekebisho kidogo kwenye tairi za nyuma(...
Jaman nina gari yangu starlet nimekuwa nikinunua shockup mpya lakini hata siku 2 zishakufa sasa msaada na ushauri shockup nzuri kampuni zaid ya jumbo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau nimepata shida katika gari langu aina ya NISSAN X TRAIL ya Mwaka 2003
Taa ya check Engine ina waka hata baada ya klipeleka kwa fundi.
Fundi alishauri kubadilisha sensor maana tangu...
Baada ya kugundua magonjwa sugu yatokanayo na uchafu wa mazingira kuongeza idadi ya wagonjwa kila mwaka na kugharimu serikali sana katika tiba. Suluhisho ni kupunguza vyanzo vya uchafuzi wa hali...
Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL ipi ni nzuri na nini kibaya kati yao IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
Wadau ninahitaji gari ya kutembelea ya juu nina tuhela nimepata baada ya kuuza kiazi,
Naomba ushauri maana mimi ni mweupe sana kwenye ujuaji wa magari ila napenda vitu vizuri licha ya kuwa mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.