JF ni chimbo la maguru wa kila kitu. Watu waliochimba na kuchimbua.
Sasa naomba kufahamu maana ya Herufi za gia kwenye magari ya Automatic na matumizi yake. P, R, N, D(1,2,3), L, 2L, M(+,-)...
Huu ni muendelezo wa Cabin Overheat Protection ambao hufanya kazi wenyewe endapo kuna ongezeko la joto kuwalinda watoto au wanyama ambao huachwa ndani ya gari na kuweka joto sawa ambalo...
Ndugu wanajamvi naomba kuuliza maelezo kuhusu gari aina ya starlet
1.ulaji wa mafuta
2. Uimara wake
3.kustahimili safari ndefu
4.upatikanaji wa spea na gharama
Ahsante naomba msaada wa...
Tatizo lilianza ghafla, indicators zikagoma kuwaka ,vioo havipandi na gari likazima, nilipojaribu kuliwasha tena taa zikawaka kwenye dashboard kama zinavyoonekana kwenye picha niliyoiambatanisha...
Wasalaam wanajukwaa.
Hizi gari (Toyota Urban Cruiser na Toyota IST new model ya kuanzia mwaka 2008), naona kama zinafanana sana kuanzia muundo na interior, ila cha ajabu hiyo Urban Cruiser ina...
Habari wakubwa.
Nina gari yangu toyota runx.
Sasa juzi nilitoa stick ya oil ili nicheck level sasa wakati nafuta na kitambaa imekatika bahati mbaya.
Nikaunga na super glue.
Sasa niliporudishia na...
Heshima zenu wakuu msaada kuhusu ili gari Honda accord 2000 uk version kwanzia ulaji wake mafuta, upatikanajiwa spare na uimara wa gari kwa baranara zetu asante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu wanajanvi!
Nahitaji Noah yenye engine 3s(muhimu hii) iwe kwenye hali nzuri isiwe imerudiwa rangi. Kama ipo nipm tuzungumze zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni vema likajadiliwa kisiasa, WaEthiopia wamenunua ndege ya kisasa kabisa nje ya Japan na ya kwanza ya aina yake Africa, unaajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro, huwezi kuamini dlegetion ya...
Nilikuwa naangalia bei ya hizi gari nikakuta milango 2 ni Mil 55, 67, 80 na nyingine Milango 4 nimeikuta Mil 110.
Ina nini hii gari kinachofanya iwe na gharama?
Nipo kwenu wajuvi wa mambo naomba msaada ninayo simu ya kampun ya halotel double line kama mjuavyo sim hizi by default lazima utumie line ya mtandao wao ila kwa matumizi yangu situmii halotel kwa...
Wakuu naomba kuliza hili swali, jana nimekaa na dereva mmoja alinishauri nisije nikashuka mlima wowote na nikajaribu kushuka free bila kukanyanga mafuta kwa dhumuni ya kubana mafuta ,ananiambia...
Ni iman yangu wote mmesalimika,polen na mihangahiko ya siku nzima na pole kwa watz wote kwa kupomteza mpambanaji mwingine R.I.P KIBS,
Bila kuwachosha wakuu natafuta tires za golf car naambatanisha...
Habarini wakuu,ipi kati ya gari tajwa ni nzuri kwa mazingira yetu ya tanzania.Gari zote zikiwa ni used toka Japani,wataalamu naombeni ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajf!! Naombeni ushauri na maelekezo, nataka kununua gari IST new model ya 2007/2008 au rava 4 sijui niite model gani! hizi ambazo hazijaandikwa 'rava4 L wala rava4 J' imeandikwa tu rava4...
Habari wanajamvi!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenzenu nataka kununua Mercedes Benz C180 ya 2006.
Najua kuna wenye uelewa wa hali ya juu kuhusu haya magari.
Kwa upande wa bei yake sio...
Hivi hawa jamaa wa Arusha Tech waliishia wapi na mpango wao wa kutengeneza Helikopta. Mana sioni update yoyote au wameingia mitini. Leo nimemuona kijana mahali anahangaika kutengeneza gari lake...
Wakuu kama kichwa habari hapo juu
Nina premio yangu ya mwaka 2004
Oddo ilikuwa imefikia km 99,978+ yaan inakaribia laki moja
Cha ajabu leo naiangalia naona imejifuta halafu ikaanza upya saivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.