Wadau poleni kwa pilika pilika za kutwa, Mimi naomba msaada Nina gari langu aina ya Isuzu trooper , nimepatwa na tatizo la accelerator peddle haipigi race , ina maana ukikanyaga peddle inavutia...
Yaani nasemea kwa haya magari yanayofanya shughuli za kubeba mchanga,kokoto,au kifusi kwenye huu mradi wa upanuzi wa badabara kuanzia kimara mwisho kwenda kibaha ukifika maeneo yao yanayopaki...
Wasalaam
Mimi ni kijana mjasiriamali nina mipango ya kujiajiri kwa kuanzisha garage. Nilikua naomba msaada wenu kwa wajuzi wa mambo ni taratibu zipi za kufuata ili upate udealer. Vigezo wanavyo...
kwa yoyote mwenye gar pajero au toyota surf manual gear ambaye yuko tayar kuliweka sokoni tuwasiliane
napatikana Dar es salaam
No 0716505153
Sent using Jamii Forums mobile app
Car service 15,000/= +free car wash
Car diagnosis 30,000/=
car general service 50,000/= + free car wash
tupo Dar Tabata magengen opposite na CRDB branch Tabata
kwa mawasiliano piga 0716505153...
Hizi gari naziona wilaya ninayoishi na automatically nimejikuta nipo interested kufahamu kuhusiana na hiyo mishe na hata pia nifuate procedure gani ili na Mimi niweze kuwa mmoja wa madereva hao...
Gari hili nalikubali sana vp ubora wake hasa utafunaji mafuta..spare zake n.k..
Kuna moja naziona ona chache cc 1400
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naweza pata spea za gar hyo audi a3 hatchback... Hpa tanzania?... Nataka kuinunua ila cjajua uhakika wa kupata spea zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi kati nilikuwa najadiliana na fundi mmoja kuhusu catalytic converter ya gari kama kuna namna ya kuisafisha ili kupunguza carbon..
Fundi akaniambia hiyo dawa yake ni kuiondoa mazima na kuna...
Wakuu nilikuwa naomba msaada kuna mdogo wangu kamaliza degree ya Mechanical mwaka uliopita, lakini mpaka sasa hajafanikiwa kupata ajira .Nilikuwa naomba kama panaweza patikana garage nzuri aje...
Habari za weekend wana JF
Nilikuwa nahitaji pikipiki iliyotumika mwezi uliopita, nikamuagiza jamaa yangu anitafutie maana yeye yupo DSM na mm nipo mkoan. Akanitaarifu Kuwa amepata na akaniambia...
Amani na iwe kwenu wadau.
Natafuta spare za gari yangu Nissan Liberty 2001
Engine SR 20
Spare nazotafuta ni:-
1. Ring
2. Men and cone (standard)
3. Transwashel
4. Head gasget
Nb: samahani kama...
Asanteni sana wadau mlionipa ushauri kwa post yangu ya nyuma iliyopita kuhusu kuomba msaada wa gari hii LEGE ulinishauri nashukuru sana,,
katika kujaribu kila hatua niliamua kupeleka kupima kwa...
Husika na mada
Naomba kujua gari aina ya bjc bj212 wengine wanaziita baw 212 je zinaingiliana vipuli na aina gani za gari za kijapan hasa injini na gia box.
Asante
Jamani naomba kuuliza hapa.
Hivi nini kinasababisha Gari kukausha Oil kwenye injini na wakati Injini haina demeji yoyote kusema labda inavujisha sehemu? Naomba kama kuna mwenye jibu anisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.