Habarini wadau!!! Nadhani muko powa... okk... sasa nilikuwa nina mpango wa kununua kausafiri kwa ajili ya matumizi yangu ya hapa na pale na nikachagua toyota vitz old model...na sijapendelea...
Wakuu naomba kwa wenye uzoefu magari tajwa ,nahitaji kuagiza kati ya gari sasa nipo kwenye kuchagua sijui niagize ipi ,je ipo ambayo ni pasua kichwa yenye tatizo sugu kwa model husika...
Wakuu habari zeni,naomba msaada wenu ,kuhusi hili basi langu,abalo lina tumia pump ya umeme tatizo lake ni kwamba
Ukiiwasha gari asubuhi na mapema inawaka vizuri tu,itafanya ruti zaka kama...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni namna magari almaarufu kama EICHER yanayofanya kazi katika viunga mbalimbali vya maeneo ya mijini na vijiji. Imekua kero kubwa kutokana na kelele...
Magari mengi ya kisasa yanatumia mfumo wa *smart key* ambayo inakuwa ina programmed key ambayo itatumika kwa gari usika tu mfumo huu unaweka mawasiliano kati ya *Control unit* immobillzer Unit...
Jamani wanajukwaa naombeni ushauri wa kitaalam kati ya subaru impreza V/s audi A3 zote za mwaka Kuanzia 2009 mpaka 2010. Ipi ni mashne nzur na udhaifua wa hzo gar uko wapi? Nataka kuchkua moja...
Habari za jioni wajameni,
Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuondoa Flyme old account kwenye simu za Meizu.
Simu ni used imenunuliwa online ila inaakaunti ya Flyme, meanwhile siwezi download...
Wanadau nataka kuagiza gari aina ya Toyota alphard 2002, sasa kwenye mtandao wa tra ushuru ni kama 6.5m, je kwa wenye uzoefu wa kuagiza kutoka Japan je huu ushuru huwa unabaki hivyohivyo au...
Wakuu kwema humu?
Naomba kujua aina zote za engine za magari na tabia zake.
Mfano gx 100 mara 3l, mara 2R sijui nini yani natamani sana kujua wakuu.
Wekeni tu nyingi iwezekanavyo tupate shule...
Salam kwa wadau wote.
Niko Arusha kwa muda na kari yangu ya kisasa kidogo, Landcruiser Prado 2016. Ni kama km elfu 40 ila a/c naona haina nguvu na ningependa kuifanyia check up na service...
Ni matumaini yangu wote ni wazima ninaomba kujuzwa na watu wenye uzoefu juu ya air conditioning za magari je kuna uwezekano wa kui-tune AC ya gari iweze kutoa ubaridi zaidi ya ule ambao...
Hello wana JF,
Nimeagiza gari second hand toka Japan. Ni gari nzuri na inaonekana kutunzwa vizuri, isipokua mmiliki wake inaonekana alikua ni mvuta sigara sana.
Kwa mwonekano, ndani ni safi...
Ndugu wapendwa naomba msaada kwa mwenye kuelewa tatizo Nina gari yangu aina ya Premio old model aina ya engine ni 4A. Tatizo la engine yangu nikifanya service ya kumwaga oil nayo iweka inaisha...
Jaman wadau mm nina hitaji msaada wenu ndoto yangu kubwa ni kujua jinsi ya kufunga mziki kwenye magari,ila sijajua ni chuo gani hapa dar es salaam ambacho wanatoa hayo mafunzo,au kama ningeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.