Naamini hapa ntapata wataalam wazuri wa magari,
Nahitaji gari kwa ajili ya tax na kuwapeleka watoto shule, angalau nipunguze gharama ya school bus kidogo
Katika pita pita beforward na...
Wakuu,
Mi napenda sana kujifunza kupaka rangi magari, naomba kufahamu ni sehemu gani wanatoa elimu hii ambapo nikitoka nitakuwa nimeiva.
Natanguliza shukrani wakuu
Sent using Jamii Forums...
Habarini wanajamvi nimejichanga nataka kununua moja kati ya gari hizo hapo mbili naomba mwenye kujua ipo bora anifahamishe zote ni toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji used Landcruiser Hardtop, Pickup, Station wagon au Van, iwe na engine ya 1Hz, (engine tofauti na 1Hz tunaweza angalia uwezekano wa mazungumzo pia), iwe katika hali...
Nimeagiza gari ila nataka nitumie redio itakayokuja na gari na niiunganishe na sub woofer ya kosyni..je inawezekana..? na kwa mwanza wap naweza pata mtaalam wa hyo kitu
Sent from my iPhone using...
Habari wana-jamii forum?.Naomba msaada,..Kuna gari hapa imekuja kutoka JAPAN (ni NOAH TOWNACE) imekuja na maandishi kwenye kioo cha mbele,pembeni kwenye bonet na nyuma. Ni maandishi yaliyo...
Wapendwa naomba msaada jinsi naweza pata engine ya gari yangu make iliyopo inanisumbua sana. Aina ya engine ni 4A. Naomba na mahali napowezapata pamoja na bei yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wataalamu
Naipenda sana Volkswageni Touareg 2.5 Diesel Engine especially ya mwaka 2004 (maana latest Kodi yake siiwezi). Naomba kupata reviews kwa wataalamu kuhusu ubora wa gari hii...
Wapi naweza kuiangalia gari yangu matatizo yake kwa kutumia computer sijui diagnostic,
Nissan xtrail 2005, na utagharimu kiasi gani, maana nahisi iko na shida.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu
Naomba kama kuna mtu ana uza engine au anajuana na wauza engine za magari anisaidie...
Mimi natafuta engine ya Toyota harrier
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima zenu wakuu.
Kuna gari aina ya toyota RAV4 short chasis engine 3s 1990cc nataka kumvua mtu.
Naombeni ushauri kuhusu uzuri wake , mapungufu yake na unywaji wake wa mafuta ndugu zangu...
Wadau,
Naomba mwenye kujua gereji nzuri ya Subaru kwa hapa Dar,
Kasubaru kangu kanafuka moshi sana wakati wa kuwasha,
Unatoka moshi mweupe kibao hasa inapokua imekaa kwa muda kama masaa 3,
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.