Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landrover 110 - 300 Series, iwe station wagon, van, pickup n.k ili mradi iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790...
Habari zenu ndugu zangu.Naomba kwa wenye utaalamu na ujuzi wa magari zaidi muweze kunipatia ushauri gari gani itanifaa zaidi.Nahitaji gari ambayo itakuwa imetengenezwa kuanzia mwaka 2015 hadi...
Wakuu,
Nina hizo baby walker mbili (spacio na ist) nahitaji kubadilisha radio zilizopo na kuweka android radio.
Kwa bahati mbaya radio hizo gharama yake ni 550,000 kwa hapa bongo lakini nina mtu...
Habarini,
Ni wazi nyakati za kujuana kupitia kusoma pamoja,kabiba moja,intake moja na mengineyo umepitwa na wakati.
Takukuru ni chombo kinachohitaji mabadiliko ya kiuongozi hasa kuondoa uongozi...
Friends, I have seen new bus models and engines from China. Sweden special, Japan special(Isuzu and Nissan diesel) zilikuwepo sana. Nimesafiri safari ndefu mfano Dar - Mwanza and Mbeya - Arusha...
Wakubwa nimetoka ubungo hapa hali ni mbaya gari zimejaa na mimi lengo langu jumatatu niamkie Dodoma.. Tusaidiane kwa mwenye lolote.. tutachangiana.
NB: Nipo mwenyewe tu na kibegi cha mgongoni.
Pm...
Jana baada ya mizunguko yangu, nikazima gari vizuri tu, sasa Leo naweka ufunguo kuwasha hata hauzunguki,
Nikajaribu kuzungusha steling nasikia kama imebana haitoki, nikajua hapa steling imeloki...
Tafadhali naombeni ushauri kwa wote wanaomiliki au waliowahi kumiliki moja kati ya gari hizi: Toyota Vitz, Toyota Duet, Toyota Allex, Toyota RunX na Suzuki Swift.
Nataka kununua gari yenye...
Wakuu, Nimejibana bana hapa kwa usawa huu, Nimetunza akiba ya mill 8 kwa ajili ya ka usafiri....na Nimevutiwa sana na premio new model
Kwanza nishaurini kuhusu ubora wa hii gari, stability yake...
Leo nimesafiri kutoka Mwanza kuelekea Dodoma na bus moja. Kwenye hilo bus nilikuwa nasikia mlio maeneo ya dreva nikisikia huo mlio naona kama speed ya bus inapungua. Sasa nimeshindwa kuelewa...
Wadau, naomba kujua wapi ukarabati wa aina hii ya gari Prado TX 1997 unafanyika ili kuirudisha katika hali yake karibu na upya, yaani Service kamili ya kuanzia Engine, Transmission system...
Kati ya carina ti yenye ingini ya cc 1754 na ile yenye injini ya cc 1454 ipi itamfaa mtu mwenye kipato cha chini. Ukizingatia i) ulaji wa mafuta. ii) uimara wa injini.
Matumizi ya kawaida hapa...
Wakuu habarini za mihangaiko, kama title inavyo jieleza hapo juu ningependa kujua utafauti uliopo kati ya Carina ti na Carina si katika vigezo hivi:-
I.Fuel consumption/ matumizi ya mafuta...
A picture showing this ranking is available below...
A copy of the WEF report on all other national indicators can be found at http://www3.weforum.org/docs/WEF_GCR_Report_2011-12.pdfangalia
Wadau naomba kujua tatizo ninini, gari aina ya nissan vannete ukishika breki inavuta kushoto kiasi kwamba ukiwa na speed zaidi ya 80 inaweza kuanguka, nimejaribu kupuliza zile pipe za mafuta kuona...
Wazee ninakapesa fulani Mungu amenipatia lakini nataka kuwekeza kwenye biashara ya basi za abiria. Hivyo wapendwa wangu naomba ushauri
1. Bei za marcopolo ni TSHS ngapi? na bei ya YOUTONG ni kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.