Kwa mahitaji yako ya vipuri mtumba
Kwa aina tajwa hapo juu tafadhali wasiliana nasi
0712046405
Hutojuta wala kuwaza tena
Karibuni tupo sinza mori wanyama hotel
Je unataka gari [emoji593]ya kutembelea au ya biashara[emoji590][emoji598] au unataka bajaji, pikipiki[emoji605][emoji598], bodaboda mpyaa na huna muda wa kutembelea show room. magwila online...
Wakuu Naomba kupata uzoefu juu ya haya magari mawili, nna ka bajeti ka 8M lakin naona hizi gari 2 ndo zinanivutia zaid
Corola x ya 2005 na premio ya 2005..
Naomba ushauri wenu kuzingatia uimara...
Ilikuwa ndoto yangu ya muda angalau niwe na usafiri wa kueleweka sikuwa nahitaji kuwa na mkebe wa gari ...hiyo kitu sikuitataka kabisa
Sasa kuna mishe nilikuwa nazifanya naona zimetiki na hapa...
Injini inatumika kwa magari kama:-
1. Gx110
2. Gx100
3. Verosa
4. Alteeza
Nimebadili injini a zamani nauza pea kama
1.cylinder head/ complete 300,000 au bila camshafts =200,000
2.ac...
Nimeona mafundi wengi wanatumia multimeter kutambua matatizo ya simu.
Nauliza hakuna uwezekano wa kutumia kifaa maalumu,km wanavyofanya madaktari kwa mgonjwa (CT scanning)
Naomba ufafanuzi wa...
Nomba ushauri gari yangu TOYOTA VOLTZ ugonjwa wake gari ni nzito nikapeleka garage za mtaani wakafungua gear box na kubadilisha hydrolic cha ajabu imekuwa ata afadhali na awali imekuwa nzito...
Amani iwe kwenu.
Nimeona video clip, gari aina ya Audi ikivuka 'max speed' yake kwenye odometer hadi kufikia 378 Kph kwenye 'digital display'
Bila shaka ni audi q8 ya mwaka 2019. (?)
Je kuna...
Hv gari ikiwa na Cc ndogo ila piston(cylinder) nyingi mfano cc 1980 with 6 cylinder au gari ikiwa cc kubwa ila poston(cylinder)chache mfano cc 2300 with 4 cylinder je ipi itakua ina kula sana...
wakuu naomba elimu kueleweshwa namna ya kusoma kilomiter,siamini kama gari imeenda kilomiter hizo kwani juzi kwenye screen ya gari y imesoma number 99754 lakini cha kushangaza baada ya 3 days tu...
Habarin wakuu
Kwa anaefaham nauli ikoje anifahamishe kutoka lusaka(zambia) had gaborone(botswana) pia maisha ya botswana yako vp kiujumla,karibun
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata ajali na gari ikakaguliwa na vehicle inspector na akaandika report baada ya kuipeleka gereji, malipo yameandaliwa na mwenye gereji akakubali kutengeneza kutokana na malipo yaliyokubaliwa...
Wakuu amani kwenu.
Kama kichwa kinavyojieleza nisaidieni vitu vya msingi ambavyo ni lazima nivifanye mara tu baada ya kununua gari yard.
Karibu sana wataalamu wote akiwemo RRONDO&Mkuu Jr...
Nahitaji vvt-i sensor mpya ya gari aina ya toyota mark2 GX110,nimeulizia moshi hakuna vvt-i mpya na nimejaribu kufunga used lakini baada ya kutembelea km50 taa ya check engine ikawaka tena na kila...
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,
Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,
TOYITA IST...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.