JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu habari. Kama kichwa kinavyojieleza hapo naomba nilete experience yangu ya kuwa Uber/Taxify Driver kwa kutumia gari binafsi. Gari ni cc1500 Corolla, na niliifanya kama part-time job sio full...
29 Reactions
101 Replies
42K Views
Ukitembelea Nchi za jirani hasa ukanda wa Sadc kuna mabasi mazuri Sana ya kusafirisha Abiria kwenye Nchi za Zambia,Angola,Zimbabwe,South Africa na Botswana nk.. Mabasi ya viwango na classic kama...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Hbr wanajamvi ,kwa dar wapi naweza kupata spare ya Mazda CX -5 gari ni ya mwaka 2013 Spare part no 3/J Natanguliza shukrani. sent from HUAWEI
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Salam wakuu, Niende straight kwenye mada. Nina mpango wa ku-upgrade gari kutoka hii ninayotumia sasa hivi (saloon car) kwenda kwenye SUV. Gari ambayo ninailenga ni Mitsubishi Outlander PHEV (Plug...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Naomba msaada mwenye kujua wapi wanauza vioo vya mazda cx 5, gari ni ya mwaka 2013 , kwa bei ya kizalendo ...nataka kuweka kioo kpya natanguliza shukrani chasis number ya gari...
4 Reactions
47 Replies
9K Views
4wd nyingi zinakuwa na dual range - Low Range(4L) na High Range(4H). Purpose kubwa ya 4wd ni kuongeza Traction na Power..! 4H.. Hii inachofanya ni transfer case kuunganisha shaft na diff ya...
12 Reactions
5 Replies
2K Views
Engine ni 5VZ Ilichanganya oil na maji nipo hapa kwaajili ya marekebisho ya gari. Mimi ni fundi Nipo bunju b dar es Salaam karibu kwa marekebisho ya Gari yako. Pia nafukia popote ulipo 0788887129...
0 Reactions
11 Replies
784 Views
Habari ndugu zangu! Nimeagiza gari ambayo natarajia kufika hivi karibuni Hii ni mara yangu ya kwanza kuagiza mwenyewe bila Agent, kuanzia kuchagua mpaka malipo na hata documents zimeshatumwa...
8 Reactions
61 Replies
4K Views
Umakini na tahadhari zaidi vinahitajika ikiwa utaamua kuendesha gari wakati hali ya hewa ikiwa siyo nzuri, yaani kuna maswala kama vile mvua au ukungu. Taarifa mbalimbali za usalama barabarani...
11 Reactions
9 Replies
3K Views
Baadhi ya istilahi unazokutana nazo katika matangazo ya magari mapya au yaliyotumika ni moja kwa moja, kama vile mwaka, utengenezaji, muundo, maili na aina ya gari. Hata hivyo, maneno...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
By Dominique Kaguhwa fb. VOLKSWAGEN GOLF TOURAN Hii Volkswagen golf hii ni Moja ya l hatchbacks inayofanya vizuri sana Africa mashariki ,Kutokana na uimara wa bodi ,nguvu ya engine , lkn bila...
7 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Suzuki Carry Hii inaingizwa kwenye list kutokana na ubora wa engine yake. S. Carry ni gari ambayo engine yake iko very robust. Inachanganya kwa upesi sana. Huwa naifananisha engine hii kama...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Altezza gari za kibishoo zimepotezwa na mnyama Subie! Asanteni Sana #team_Subie# Kwa ushirikiano
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Japo Subaru Forester imepata Promo na vijana walamba lips wengi wanainunua. Hiki chuma TRIBECA (Subaru) kimekosa kabisa machawa wa kupigia promo hapo Bongo?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar za usiku wakuu.... Napenda kuuliza hvi ile website ya alison ambayo inatoa course ladhaa za diploma na certificate, je vinaweza kuwa vinatambulika na TCU?
0 Reactions
1 Replies
507 Views
Ndugu zangu team Subaru naomba mnikaribishe nimehama kutoka Toyota na kuingia Subaru. Nimeagiza Subaru Forester ya 2011 katikati ya mwezi wa tisa inafika. Naombeni vitu vya kuzingatia kwa ubora...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habar wakuu Naomba kuuliza je kuna madhara gani au faida gani pale Hilux Double cabin engine 3L Diesel yenye betri mbili za N50 kila moja, kuifanya itumie betri moja? Nimeziona hilux kadhaa...
0 Reactions
6 Replies
538 Views
Kwema Wakuu, Za Weekend? Gari yangu nilibadilisha Gasket last week, Sasa toka hapo imekua inatetemeka napokua nimesimama kwenye Mataa labda. Pia asubuhi nikiiwasha inawaka na kuzima. Mpaka...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Town ace 2c, inatumia desel ya 2005 , manually au lite ace 2002 manual inatumia petroleum? Town ace 1995? Liteace 2002
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…