JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
✓Gari kukosa nguvu ni kitendo cha gari kushindwa kufanyakazi kazi katika uwezo wake wa kawaida kitaalamu matatizo yanayopelekea gari kukosa nguvu yamegawanywa katika makundi matatu nayo ni...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Wataalam, kwema? mimi sio Mzuri sana wa chombo cha moto kwenye ufundi zaidi ya kuendesha tu. Nina Pikipik yangu Aina ya Lifo (wengi wanafananisha na kibao cha mbuzi) ina 110cc iko Vizuri sana...
10 Reactions
78 Replies
11K Views
Wadau kuna kitu mnitoe Tutani..... Hivi Nissan Extrail injin zake zote ni sawa au zingine zinatofautiana??? Na pia kama zinatofautiana ni model IPI na IPI???? Nafahamu Nissan zina ugonjwa wa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari, Nina changamoto moja,gari yangu aina ya kluger nilikuwa sijaitumia kama wiki mbili,juzi nimeiwasha kutembea kidogo mara pipe ikachomoka ikamwaga maji,ghafla taa ya battery ikawaka kuzima...
1 Reactions
3 Replies
703 Views
Muhimu ni gari liwe jipya, zero kilomita. Gari lolote linakubalika, cha msingi liwe la kutembelea. Zingatia kwamba hiyo milioni thelathini inapaswa "kucover" gharama zote mpaka liwe tayari kuanza...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari za weekend Wakuu, Madere na Wapenzi wa magari. Bila shaka leo ni siku nyingine ya kujifunza kitu ambacho pengine tumekutana nacho sana hasa sisi washinda barabarani. Kwa kawaida mfumo wa...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanajamii naombeni kujua bei halisi ya Spark Plug original kabisa Dar es Salaam kwa gari ndogo kama Carina Ti hivi Asante
0 Reactions
52 Replies
15K Views
Kama ilivo heading, Kwa kipato chalaki sita keshi nitaweza KUMILIKI Corolla sprinter, carina au ist second hand? Japo Kuna kibiashara kinaningizia japo 150000-220000 per month tofauti na kipato...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari za jioni. Naomba kujuzwa kuhusu magari yanayouzwa Na Jan Japan kwenye show rooms zao hapa Tanzania. Je ni waaminifu? Kwa maana hawacheezei speedometer au kubadilisha vifaa by magari...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli baadhi ya mafundi siyo waamifu.. Hivyo unatakiwa kuwa na utaratibu huu.. ili gari yako iwe salama pindi inapokuwa gareji.. 1. Kuwa na sehemu maalumu ya kufanyia service Gari yako 2...
12 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa! Kama mada inavyo jieleza mimi nina miliki leseni ya daraja d. Ila nataka niongeze daraja mpaka e. Sasa nashindwa kuelewa natakiwa kwenda veta au n.I.T? Na je kama ni veta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nashida ya rim ya pikipiki mpya inauzwa bei gani na used inauzwa bei gani? Nimekuja hapa kuuliza ili nisije kupigwa huko na wataalamu
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wezi wa plate number za magari (Watekaji) Kuna mtindo mpya wa utekaji umejitokeza. Watekaji wanakufuata pale unapo paki Gari lako hasa maeneo ya maegesho. Unapo acha Gari lako kwenye maegesho...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Hizi ndio generations za Mercedes-Benz S Class kuanzia mwaka 1965 hadi 2020. Utoto wangu naikumbuka Mercedes-Benz S Class ya Bob Makani, Sea View Upanga. Ilikuwa model ya 1979 S 500. Mbeya...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
1. Matatizo ya Mazida Verisa. 2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana 3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wana Jamiiforum bila kuwachosha naombeni ushauri juu ya hii bajaji. Ni kampuni ya Sinoray J3 ina uwezo wa kubeba watu 8, cc 200. Inatumia rejeta nimeiona nikaipenda sana na bei yake...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za hapa; Naweza pata hii gari wadau (sio lite ace) iwe 4WD kwa 15m ?
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Yanga Kigali Simba Lusaka! Tuombe heri. Kwa sasa tunakamilisha tu vibali na matambiko, October kazi inaanza rasmi. Chuma itakuwa inalalia Kigoma mara 4 kwa wiki. Sasa mji huo mimi ni mgeni...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, samaleko. 😎 Hizi "water marks/stains" kwenye vioo zinaathiri sana ung'aavu kamili wa kioo na kupunguza muonekano mzuri. Ni jinsi gani ya kuziondoa? Ni ngumu mno kuzitoa, ni sugu...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari za week end Wakuu? Niende kwenye mada moja kwa moja. Ni hivi, huku Japan (Niko kwa Sasa) gari zinazoonekana kwa wingi barabarani ni: 1. Gari ndogo zenye ukubwa wa 650cc engine size. 2...
8 Reactions
105 Replies
27K Views
Back
Top Bottom