Wakuu amani kwenu,
(nimeulizwa swali na mdau, kwa kuwa sijui mambo ya pikipiki nimewaailisha kwenu anaomba msaada wa mawazo)
Nisipoteze muda nimepata changamoto kidogo kwenye hizi piki piki za...
Naombeni msaada wazoefu wa kuagiza magari Japan.
Nimeagiza gari japan limefikia hatua wamepakia kwenye meli na wamenijulisha jina la meli, tarehe ya kuondoka na kufika japo wamenambia huwa...
Habari wakuu,
Naomba mwenye uelewa juu ya hizi malori ya kichina! HOWO kuhusu agent wake kwa hapa Tanzania (Brand new)! Ubora kulinganisha na scania, DAF, Mercedes. Bei, Service n.k anijuze hapa...
Habari za leo wana JF.
Niko katika maandalizi ya kutafuta gari ya Mizigo kwa kazi Zangu za biashara ya mazao.
Biashara yangu ni kukusanya mazao toka maeneo ya vijijini maporini na sehem kama...
Habari،naomba mwenye uzoefu anipe elimu juu ya hii gari naiona imeandikwa Chevrolet imefanana na Swift.
1.Ni gari gan Chevrolet gani
2.Upatikanaji wake wa vipuri
3.Matumizi yake ya maguta...
Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida.
Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite...
Nataka kununua hii gari jamaa kaniambia milioni 9. Alianza na 11 tukashuka hadi 9, je, hiyo bei ni sawa kulingana na hali ya gari ilivyo?
Naomba saada wakuu.
Ninekuja hapa mbiombio, Kuna pahala nimeona wanaitangaza hii mashine. Nahitaji kujua machache kuhusu hii gari.
Mahitaji yangu ni
Gari yenye kubeba Tani 15
Gari inayo himili njia ngumu rough road...
Za sa hizi wananzengo,nina gari aina ya Allion new model lakini inakosa nguvu, inakimbia mwisho speed 80 baada ya hapo haibadilishi tena gia.
Niliipeleka kwa fundi akaniambia kuwa shida ni control...
Speed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona.
Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie...
It's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.
Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na...
Habari wadau,
Nina gari Vitz New model lakini ipo chini sana, ukipita kwenye tuta kubwa au rough road yenye mabonde mabonde lazima iguse chini. Najua humu kuna wataalam wa haya mambo mimi sio...
Habari jamani?
Gari yangu aina ya Raum 2nd gen taa yake ya indicator ya kulia haizimi automatically, vile ukikata usukani upande wa kushoto ni mpaka uizime wewe mwenyewe dereva.
Mwenye uzoefu wa...
mambo vip wadau,
siku mbiki tatu nyuma nmenunua kipaso piston 4 cha 1290CC, kilikuwa kinashda ya kubadili gear but ukiweka reverse kinashtuka na kurud nyuma
1,nikampelekea fund wa kwanza kuna...
Nimeingia kwenye mitandao kuchungulia bei ya Carina TI huko Japan nilichokutana nacho nimecheka saaana.
Yaani Carina TI ina bei kubwa kuliko hata IST old?? Why?
Source Befoward
Kampuni ya Audi ni kampuni ya magari ya kijerumani inayotengeneza magari ya Aina mbalimbali ni kampuni ya kijanja Kwa kijana na mtu anayejielewa Kwa bongo hapa IST imekuwa gari ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.