Wakuu bukheri?
Namuombeni mpate kunijuza...Kuna ma Ford chakavu nimeyafuma pahala.
Nia yangu nataka yaleta nyumbani TZ.......Sasa hofu yangu ni hapo bandarini pamoja na watoza ushuru TRA ndio...
01: Misfire
Hii inatokea kwenye magari mengi kwa sababu mbalimbali.
Kabla hujafungulishwa engine ukapigwa mpunga mrefu kwasababu ya changamoto hii jiridhishe kwanza kwa kufanya diagnostics na...
Habarini wanajamvi.
Naomba kwa wanaoifahamu na wenye experience na hii gari wanipe maoni yao kuihusu. Maana nataka nifanye maamuzi magumu ila bado sijapata user experience ya watumiaji wa hapa...
Ndugu wataalam wenye uzoefu wa vyombo vya usafiri, hususan magari, naomba mnisaidie.
Naomba kueleweshwa juu ya umbali ambao oil ya 10w-30 au 5w-30 inatakiwa kwenda. Au ni sawa na hizi za SAE...
Wadau, natumia old model Rav4J yenye Cc1998,kiukweli upande Wa mafuta sijaridhika na unywaji wake, ni jini, sasa naomba ushauri Wa kitaalamu nataka nibadilishe injini, injini ipi ambayo ina cc...
Nataka kununua gari aina ya Toyota corona premio 2001-2007 lakini naomba ushauri niagize mpya au nitafute used humu kwenye mitaa ya bongo yetu?
Kwa wazoefu naomba kujua Bei za used na zile za...
Wakuu habari za asubuhi.
Ni matumaini yangu mmeamka salama siku hii ya pasaka.
Nina mpango wa kununua gari kwa bajeti ya Tshs 10M - 12M. Nipo mkoani na ni mara yangu ya kwanza kumiliki gari...
Amani iwe nanyi.
Kuna hii taa ya check engine inawaka gari nimeipeleka kwa fundi wamehangaika nayo siku nzima ila bila mafaniko.
Na inawaka pale gari linapokuwa kwenye mwendo dk moja au mbili...
Habari wana Jf
Zingatia haya kabla hujaamua kumiliki gari, au kama una gari basi endelea kuyazingatia yafuatayo ili pesa uliyotumia kuagizia gari yako isipungue kwa kasi.
1. Fanya...
Kwa hii hela mil 10 - 13, naweza kupata gari gani hapa mjini, hasa Toyota, ya kuzunguka Dar, mkoani kwenda mara 2 kwa mwaka? Ya mwaka gani?
Niagize au niende showroom? Showroom ipi haina uhuni...
Nikiwa katika pitapita za miangaiko ya asubuhi maeneo ya ubungo mataa nilimwona mwanamama moja akiwa amerelax akiendesha gari dogo sana nilipolisoma ni aina ya bajaji qute, kweli nikiri sijawahi...
JF magari, habari?
Heri ya mwaka mpya wakuu.
Mwaka umeanza, moja wapo ya malengo yangu ni kua na gari mpya(mpya kwangu ila wengine washaitumia)
Nafikiria kununua gari mojawapo ya hizi, VW...
Nimebaini gari langu nikiwasha ac inaanza kutoa ubaridi kama kawaida lakin nikienda distance flani mbele ac inaanza kupoteza ubaridi labda mpaka niizime kwanza ac nakuiwasha tena ndo itaanza tena...
Jamani hi,
Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.