JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Watu wengi huwa tunatumia magari bila ya elimu hasa kwenye kuyahudumia na kwa bahati mbaya kwa Tanzania ni wachache sana hujitolea kuandika elimu mbalimbali kuhusu magari kwani wengi hutegemea...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Hakika tunaanza wiki na pia tunaelekea kumaliza mwezi huu wa pili na kikubwa ni kushukuru Mungu kwa pumzi aliyotupatia kwani kwa masikitiko makubwa sana tumepoteza ndugu zetu...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Wana JF, Habari , niende kwenye lengo nahitaji expart mkali wa software za magari kwa kutumia PC, kufanya training ofcn kwangu SOWETO MBEYA. Namna ya kutumia softwear mbali mbali kama: DTC...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Inajulikana scania Ndio wana engine bora zinazodumu Kwnye mazingira tofaut Je ukiachana na scania je injini ipi bora kuanzia uwezo mpk kudumu kati ya hizi 1/ Volvo 2/nissan UD 3/Mitsubishi...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
jamaa kafungia ufunguo ndani ya gari na ka lock milango,na kapandisha vyoo vyote, gari ni runx, msaada tafadhali kwamafundi na wazoefu,afanyeje jamaa..
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Kumekuwa na maneno tofauti kuhusu oil za Castrol na Oryx sasa naomba kujuzwa kama ni kweli oil za Castrol zinaenda kilometers 5000 na kama ni kweli za Oryx zinaenda kilometers 8000. Ahsanteni...
0 Reactions
43 Replies
18K Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kubadili kadi ya umili wa gari 1. Gari ina cc 1990 ya mwaka 2000 2. Nimenunua kwa mtu wa Mwanza mwaka jana,ila mimi naishi chanika dar 3. Niende TRA ipi kwa hapa Dar...
4 Reactions
15 Replies
20K Views
Nina gari ndogo aina ya Pickup Toyota Hilux. Gari hii ina plate number ya rangi ya njano. Kwa maana hiyo siitumii kwa kufanya biashara yoyote ni yangu tu ya kifamilia. Naomba kuuliza je, gari...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba kujua hili gari changamoto zake na uimara wake, lakini pia ulaji wa mafuta.
0 Reactions
17 Replies
852 Views
Msaada kwa anayefahamu utaratibu mzuri wa kuingiza magari kutoka Singapore. Maana nilifahamishwa kwamba yenyewe yakiingia nchini yanakuwa hayana certificate of inspection na hivyo inabidi kupeleka...
1 Reactions
18 Replies
7K Views
Wakuu kwema?? Ndugu yenu nimechoka Sedans, sasa nataka niingie kwenye hizi Midsize SUV. Ushauri kati ya Harrier anaconda (2014) na Hyundai (2014) ipi iko vizuri Comfortability, Stability...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu Habari Hivi naweza kutumia CVT NS 2 kwenye Gear box ya nissani teana ambayo Recommended yake ni Matic J? Fundi mmoja ananiambia CVT NS 2 inaingia kwenye Gear box yoyote ya nissani na fundi...
0 Reactions
5 Replies
468 Views
Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Tujulishane bei
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakubwa kuijua sifa ya hii gari suzuki samurai tafadhali naomba msaada wako kimaelezo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi engine ya wish 1zz inaweza fungal kwenye bodi ya gari gani naomba msaaada wakuu
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Alafu yamaha terminator au wanaiita yamaha cc 600 hivi here engine inaweza vaaa kwenye body ya pikipiki gani hizi kubwa au wapi naweza pata bodi yenye uwezo wa kubeba yamaha 600cc cold kick
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town. Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Nawasalimu wakuu kwa jina la nguvu na uchakalikaji wetu. Baada ya kupitia threads nyingi hapa na kujifunza mengi kuhusu magari nami natupia uzi hapa ili kupata ushauri. Kiukweli mi mgeni sana wa...
6 Reactions
137 Replies
92K Views
Kwa mlio wahi kuzitumia naombeni mnitoe tongotongo, maana nimeziona mara nyingi na nikavutiwa nazo nachotaka kujua Brand gani ni imara,Na zinaweza kwenda umbali gani bila kuchajiwa, changamoto...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom