JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hizi stunt sio za kawaida. Nimewakumbuka wale wazee wa reliability.
15 Reactions
168 Replies
14K Views
Naomba faida na hasara zake kwenye gari, je kwa mazingira ya bongo ni vyema kuwa na gari lenye sunroof? NB: Mtandaoni nimekutana pia na kitu kinaitwa moonroof.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kati ya hizi zilizoorodheshwa zipi ni za muhimu zaidi?
0 Reactions
5 Replies
951 Views
Kwa wale wenye uzoefu wa bima mitandaoni naomba msaada wa maelezo. Kuna gari ilikuwa gereji kwa muda imepona inahitajika bima (thirdy party), mlipaji hana fedha taslimu ya kulipia bima,anataka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Naombeni ushauri, kwa matumizi binafsi ya pikipiki, ipi ninapaswa kununua kwa matumizi binafsi (sio kwa biashara). Nakaribisha maoni.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii Subaru ya South Africa ipo vizuri kwa muonekano Mbio kwa wakimbiaji na balance ipo pia..hapo naona inauzwa 32,000,000 Tsh bado kaizari na gharama za kusafirisha mpaka Tunduma...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafta piston ya sonalika thresher ya kupura mtama
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Ndugu wana JF habari za muda huu? Bila kupoteza wakati nina interest ya kuendeshea gari ambayo ni pure electric car (Nissan leaf) Sasa mwaka wa fedha huu palitangazwa na waziri wa fedha wakati...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwamara ya kwanza mwisho wa mwez huu nimepanga ksafir umbali mrefu kwakutumia usafir binafsi Dar to Mwanza. Naomba muongozo kipi cha kuzingatia hasa ili kupunguza mazonge njiani hususani issue ya...
8 Reactions
81 Replies
7K Views
Ukitaka kufunga GPS tracker kwenye chombo chako mathalani gari.... Weka mezani lengo la kufunga tracker kwenye gari lako. 1. Je unahitaji kufunga tracker kwa ajili ya kufatilia mizunguko ya gari...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Naona! sana upepo umeziangukia gari hizi! SUBARU FORESTER- Hizi gari nyingi ni za mwaka 2010, lakini hapa mjini now ndio zinaingia sana! Actually kwa wale wenye plan za kununua magari...
9 Reactions
52 Replies
13K Views
Habari wakuu, Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua. Naomba...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari za jioni wakuu Nina Toyota premio ya mwaka 2008, hii gari imeanza kugonga chini yaan unavyoendesha hasa kwenye rough road unahisi kama usukani umeachia kwani unaskia manyanga ya kutosha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Basically the pro max version of the T7. Has dual tanks,different front & rear shocks(pre load adjustable), steering dampers,seat, higher windscreen, Tft display and 3 mode switchable ABS. Its...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Picha: Lexus is200 Habari wadau, Naomba kujuzwa matumizi ya mafuta kwa Lexus is200 kutoka Gezaulole to stesheni posta kwa week Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza kati ya Toyota Kluger na Subaru Forester ipi ni nzuri zaidi kwa kuzingatia uwezo wa engen, uimara wa gari na vitu vingine vya muhimu.
6 Reactions
79 Replies
24K Views
Angalia Thread hii ikiwa kiyoyozi chako hufanya kazi tu wakati gari lako linasonga Hakuna kitu kinaboa kama pale unapopunguza gari lako mwendo au unaposimama kumsubiri mtu/rafiki yako halafu...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Nina shida gari funguo nimepoteza naomba kama kuna fundi mwanza anaweza kunibadilishia funguo nyingine
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Wadau nina gari aina ya Suzuki Escudo, tulibadilisha slinder head gasket baada ya gari kugoma kuwaka na kuchanganya maji. Sasa injini haizunguki kabisa ijapokuwa mwanzoni iliwaka kwa kumiss sana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom