Habari wakuu
Je inawezekana kupata leseni ya udereva kwa mara ya kwanza bila ya kuwa na namba ya NIDA, maana nimesikia kwamba unaweza kwenda na barua ya serikali za mitaa lakini sina uhakika, je...
Unayelifahamu hili gari unalizungumziaje ukilinganisha na gari kama Toyota Vanguard 2013? Maana naona kama bei zinaendana, na ina muonekano wa kuvutia, na je lina tofauti kubwa na Forester...
Kiukweli katika fuatilia yangu ya magari. Gari za Nissan Maarufu ni Morano, Dualis, X- trail, Nissan Patrol, Juke, na manufacture wengine kama Subaru, Toyota na kadhalika.
Gari za Nissan Qashqai...
Habari wadau. Kila siku asubuhi nikiwaasha gari kunatoka maji kwenye bomba la kutolea moshi. Wengine wanasema ni ubora wa engine, wengine wanasema engine ina matatizo. Ukweli ni upi? Iwe ubora au...
Ni takribani miezi 10 sasa tangu nianze kuendesha chombo cha moto (pikipiki), Ingawa sina route ndefu kwani maximum route zangu ni kilometa 40 au chini ya hapo.
Kwa kipindi hicho cha miezi...
Wadau wa magari naomba muidadavue Mitsubishi outlander hii SUV body yake na muonekano umenivutia.
Sasa nataka kujua ,udhaifu wake ni UPI katika safari ndefu na pia service zake na ubora wake
Je unajua kwamba kwa sasa ukitaka kurenew leseni ni mpaka uwe na cheti cha udereva, Yani cheti cha uliposomea udereva, sasa kama leseni ilikufata nyumbani jiandae. Sasa naweza jiuliza hii issue...
Dereva makini unatakiwa kabla ya kuliondosha au kuwasha gari lako ufanye mambo haya:-
Ufanye ukaguzi wa nje ya gari
Matairi kama yote ni mazima, hakuna sehemu iliyotuna
Taa zote kama...
Hyundai Teracan 2990cc, Diesel Ni gari makini Sana. Bei yake imepoa na hata TRA ushuru ni mdogo ajabu. Changamka fursa. Usiseme hukuambiwa. USHURU 5.5m Tsh, Wese:Ddiesel, Spea bwerere, 7 seater SUV
Wakuu Habari za weekend
Jana nimedrive gari Kwa umbali kama wa kilometres 2,
Nikafungua mfuniko wa rejeta, kilichotokea ni maji kuruka Kwa nguvu Sana kama video inavyoonyesha,
Maswali yangu ni...
Naombeni msaada katika hili nimejichanga sasa nataka kuagiza gari japan hii itakuwa gari yangu ya kwanza kabisa,naombeni ushauri ipi itanifaa kati ya VITZ ama honda fit?
Matumizi ni kuendea...
Waziri mkuu amesema magari yaliotengenezwa chini ya mwaka 2010 yasiingizwe nchini, naona tunakoelekea kumiliki gari itakuwa ujipange haswa.
Na biashara ya magari yaliondani ya nchi inaenda kukua...
Najua ujanja duniani ni mwingi Sana.
Gari la mkononi ni chombo ambacho usipokuwa makini unapigwa mchana kweupe pee.
Wengine Hadi wanaacha kuagiza Japan au uarabuni ni hofu ya kupigwa.
Mimi ni...
Eti kuna ukweli wowote juu ya msemo madereva wa kanda ya ziwa hawana uwezo waku battle mbele ya njia ya nyanda ya kusini.?
NB: Inasemekana njia za nyanda ya kusini ni ngumu zaidi kuliko kanda ya...
Wadau Mimi nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye maada.
Nimekuwa nikipata tabu Sana kupata usafiri wa pikipiki kwa ajili ya mtu wañgu wa kike ili imrahisishie kufika kazini kwa wakati...
Gari toleo moja inakuja na engines tofauti tofauti..
Kuna baadhi ambazo muonekano wake unakupa code ya engine iliyopo..
Baadhi ni hizi
Prado 70..
Imeandikwa neno Turbo kwenye front grill hiyo ni...
Habar wakuu,
Nimenunu gari kwa madalali kama miaka 2 Sasa nipo mkoani huku ila hata hao madalali nimepotezana nao, ishu iliyopo nahitaji kubadili usajili wa kadi.
Je, nafanyaje wakati simjui...
Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika.
Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea...
Hapa home pana 109 ipo tu juu ya mawe. Nina uhitaji sana na Gari ndogo ya mizigo, inisaidie kazi za shamba na store.
Nimewaza nifufue 109 tu nifunge break za canter, nivalishe mfumo mpya wa umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.