Samahani kwa kuita gari yako pendwa Kimeo ila twende pamoja utanielewa huko mbele, Kaa vizuri andaa Juice yako bariiidii ule MADINI..
.
X trail ni moja ya SUV [compact crossover] ya Kijapan...
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa...
Wadau nataka kununua gari. Katika pitapita zangu nimekutana na hili na nimesoma hayo maelezo nimeyapenda hasa kwenye ulaji wa mafuta....
Je, naweza kuipata kwa shilingi ngapi mpaka mkononi kama...
Salaam Wakuu wangu, natumaini wote mko vema na mnaendelea salama na ujenzi wa Taifa Tanzania.
Natumaini Kama si wote basi baadhi yenu mnauzoefu na ujuzi japo kwa kiasi fulani juu ya vyombo vya...
Habari,
Sifahamu sana hizi gari aina ya Impleza ila mke wangu mdogo anazifahamu, nimeona kwenye picha ni gari ndogo kiumbo.
Niyeyehariniambia ana.zipeda sana nafikiliya nimuwagizihe
Naomba...
Salamu waungwana.
Naomba kuuliza kuhusu gari inayoitwa Tata Ace, cc650, kuhusu upatikanaji wa spea na umadhubuti wake, uwezo wake. Dhidi ya Suzuki Caryy.
Naomba kuwasilisha
Hope Weekend inaenda vyema
Natangulisha Shukrani zangu, kwa mtu yeyote mwenyewe uzoefu wa hio Gari hapo juu kuhusu Changamoto zake.
Upatikanaji wa Spares
Mafundi
Durability
Picha ya Gari pia...
Wadau naomba kujua nini tatizo la gari kutetemeka unapokanyaga accelarator. Gari ni toyota Ractis 2006
Pia kuna muda gari inakosa nguvu ukikanyaga accelarator.
Ndugu zangu naombeni mawazo yetu, nimejichanga sasa nataka agiza gari ya kwanza kabisa, sina experience ya magari.
Matumizi ya gari kwenda ni kazini, kanisani na labda kwenda mkoani mwisho wa...
Wakuu nawasalimu,
Kutokana na ushauri na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3.
1.IST old model
2.Spacio new model
3. Premio old model
Wakuu naomba ushauri wenu...
Wakuu habarini za wakati huu? Binafsi niko poa kabisa namshukuru Mungu
Siku ya leo nilipata tena nafasi kutembelea maonesho ya sabasaba na lengo kuu ilikuwa kwenda kununua miche ya matunda banda...
Habarini wakuu? Hope wazima kabisa..
What is motorcycle fuel consumption per km?
Kwa watumiaji wa hizo pikipiki za miguu minne(Quad Bike) cc700, mnaweza kunisaidia consumption ya petrol kwa km?
Kwa muda nimejaribu kutafuta hivi vigari vidogo kama IST, Vits , Allex nk
Vingi madalali wanauza Mil 10 mpaka 13 almost bei ya kuagiza mil 14 - 16 Japani.
Hapo ukishanunua Bongo jiandae tena...
Habarini za kushinda!
Naombeni msaada wa mawazo, nimejichangachanga na sasa nataka kununua gari.
Naombeni msaada wa chaguo zuri mojawapo kati ya hayo machaguo matatu.
Niko Tunduma, kazi ya gari...
Nina gari ndogo Toyota Engine 1ZZ VVTi kuanzia 2021 August ilikuwa ikinisumbua sana. Engine ilikuwa ni full kelele ukiwasha, ukikanyaga mafuta kidogo tu ni krrarrrrrrr kama zote.
Niliisha peleka...
Ndugu zangu nina Kavitz kangu huku Tanga Mjini kanasaidia kwa mizunguko Ya hapa barabara za namba ,,sasa nimevuta nguvu kidogo nilitaka nipate tena gari nyengine ndogo ya kunisaidia hata nikitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.